Nina tabia ya kukinai wanawake ninaokuwa nao katika mahusiano

kyagata,

Ni kwel kabisa mkuu, naona tuna case zinanzofanana. Kwa upande wangu mm huwa navutiwa sana na mwanamke lakin kabla sijampata, ila cha ajab nikishampata ile hamu huwa inaisha yoote namuona tu kawaida hata ham ya kukaa nae huwa inapotea kabisa
sijui nina tatizo gani aisee,yani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote,mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi kumfukuzia,alivyoingia king tu,nikakaa nae kwenye mahusiano kama two weeks hivi nikaanza kumuona wa kawaida sana na automatically mapenzi yangu kwake yakaanza kupungua na nimeshampotezea tayari mpaka sasa.
kuna ambae amewahi kuexperiance situation kama hii yangu wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni hali ya kawaida,pia ni kipimo cha wewe kujipima sababu kuu ya wewe kuwa na huyo mwenza
 
kyagata,

Endelea kupiga punyeto mkuu maana ni tamu kuliko wanawake ukizoea hiyo hakuna mwanamke utakaekufurahisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kyagata

Hiyo mbona kawaida kaka kwa wagegedaji.
Yaani sijui kwa nini bwana ukishamgegeda demu unamuona wakawaida unaanza kutafuta mzuri mwengine na huyo nae ukishamgegeda wamuona hana jipya.
Endelea tuu kuwagegeda mwanawane.
 
Mushukuru mungu yako sana, sie wengine tunaibiwa na kufirisika but we still hold on like hakunaga wanawake wengine. Please tell me vile unawezeaga

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom