Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #21
Nipo bi dada .. sasa huyo aliyekuwa anauliza swali ana akili timamu kweli au ni ubishi tu?? Ni sawa sawa na kuuliza mwanamke alitoka kwa mwanaume AU mwanaume alitoka kwa mwanamke!!!
yaani ni kama nasema kati ya kuku na yai kipi kilianza? au bado nakuchanganya??sijaelewa kabisa hilo swali lako sasa katika ulinganishi wa hapa
yaani ni kama nasema kati ya kuku na yai kipi kilianza? au bado nakuchanganya??
we hadi robot limekujibu jua we ni so kabakaba...............na ubishi huo lazima uibuke kidedeaPasaka
we hadi robot limekujibu jua we ni so kabakaba...............na ubishi huo lazima uibuke kidedea
swali gumu
New year then Xmas period.
yaani mie nimerogwa
siwezi jibu swali kama hili straight
niombeeni tu
mwakani niache bhange
Bangi mbaya inakufanya ukurupuke na jibu bila kufikiria.Pasaka
Bangi mbaya inakufanya ukurupuke na jibu bila kufikiria.
Bangi mbaya inakufanya ukurupuke na jibu bila kufikiria.
Bangi mbaya inakufanya ukurupuke na jibu bila kufikiria.
ukipigwa ban mimi sifungui post ya kukuombea msamaha
Mtoto mzuri kama wewe unakuwa na roho mbaya hivyo!!hehehe nishamwambia huyo
Mtoto mzuri kama wewe unakuwa na roho mbaya hivyo!!