Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Pasaka
Wanajf,tunapokaribia kumaliza mwaka nina swali moja tu kwenu naomba mnieleweshe maana nimebishana na mtu kweli leo na hatukufika muafaka.
Eti kati ya sherehe ya xmas na mwaka mpya ipi inaanza?
Nawasilisha.
Mwaka mpya sababu iko celebrated in january, na xmas inakuja only in december. wewe ulimjibu vipi?
Mwaka mpya sababu iko celebrated in january, na xmas inakuja only in december. wewe ulimjibu vipi?
Mpaka utoe huo mkono hapo ulipo ndiyo tutakuambia.
Inaanza xmas.. we mwenyewe si umeona umesherehekea xmas jpili halafu jpili inayofuata itakuwa new year😛oa
Exellent
Mwaka mpya unaanza (mwanzo wa mwaka). . . .Christmass inafuata mwisho wa mwaka.
hili neno nalijua sana haujalitendea haki
Ni Excellent umesahau 'c'
Niliedit mimi nashangaa limetokea vilevile yaani hawa mods siwaelewi
Huo mkono kama unategua kitu hivi!
Nipo bi dada .. sasa huyo aliyekuwa anauliza swali ana akili timamu kweli au ni ubishi tu?? Ni sawa sawa na kuuliza mwanamke alitoka kwa mwanaume AU mwanaume alitoka kwa mwanamke!!!thanx mayasa,missing u unapotea sana siku hizi
Ipi inaanza katika timeframe gani? Maana mtu anaweza kukujibu katika timeframe ya mwaka wakati wewe unauliza katika timeframe ya wiki.