Nina swali la muhimu

Natalia hao wazee waacheni..kumbe wanajuana toka ujana waoo..kuna alimchukulia mwenzie mpenzi...kuna aliyeolewa na mume mwingine..and so on...waache wamalize yao...siku zao ni chache...we na mumeo ba wifi yako fanyeni yenu....kingine mshauri mumeo awasamehe ..bado ni wazazi tuu no matter what.
 
Umekosa nidham kuja kumjungua mama mkwe wako huku JF,mambo mengne hayaitaji ushauri na kuyaweka hadharani kiasi hiki.
 
Shosti usiumize sana kichwa kwa vitu kama hivyo wewe ni mkwe kama sikosei,ningekua wewe ningetafuta njia au pakwenda na Mumewangu ikiwa naona hapo kwenye mualiko sijapapenda, au kama ikibidi niende basi ningefika late nikala nakuondoka,au nisiende kabisa, na vyovyote atakavyokua huyo ni mkwe awe mapepe ndio alokuzalia mume...Utanisamehe ikiwa nimesema sana........
 
Watu wakiachana hakuna vita, maisha yanabaki kama yalivyo na yanaendelea, kuachana sio vita, chuki wala kuwekeana kinyongo


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…