greetings from shaurimbaya,, Happy new year Natalia
Baba mkwe wangu bado yupo na mkewe na mama mkwe wangu mumewe Kafa .suddenly anafanya dinner na anawaalika na mume wangu ni wazazi wake .Mimi sipendi kwa Sababu inaelekea mama mkwe bado anampenda baba mkwe wangu .We ndo umepanic!kwani we unajua kwa nini waliachana?halafu huyo si ni mzazi mwenzie shida iko wapi?na hata hivyo kwa maelezo yako hao wakwe zako washakuwa watu wazima miaka 40 iliyopita si mchezo ongeza miaka walokaa kwenye ndoa na kupata watoto,mpaka hapo washakuwa watu wazima na wanajua wanachokifanya.Na je we unajua life style ya Huyo baba na x wife wake baada ya divorce?
Cha msingi kama hutaki kwenda dinner that day usiende,ya ngoswe mwachie ngoswe wao wanajuana!!
Mama mkwe wangu alimweleza mume wangu bado anampenda mumewe wa zamaniSasa hapo ushenzi wa tabia nini????????
Kumualika mzazi mwenzie na mkewe ni sawa kabisa, kama angemualika huyo baba peke yake hapo labda ningejiuliza kidogo!! wewe ni mwanamke fikiria umeolewa na umezaa na mumeo watoto hata 4 then mkaachana, wewe ukaolewa tena na babaa akaoa, ukaja ukafiwa, ushindwe kuialika familia ya mume uliezaa nae??????? binasfi sijaona kosa ila naona huyo mama kwa ujane wake anajaribu kutengeza ukaribu na watu, akiwemo huyo mke mwenziea,
Alafu kwenye ndoa mambo kama hayo huwa tunayaangalia tu, kifupi tunasema HAYATUHUSUUUUUUUU,
Kifupi mama yupo sahihi kwa kua kawaalika wote mume na mke, hata dini yetu katoliki haikataziii kwasababu sio zambi na sidhani kama ana nia mbaya. na wala sio uswahili ila ni udhungu zaidi, huyo mama lazima shule ipo. mengine jiongezeeee.
Mume wangu na wifi yangu walimuuliza kulikoni.mama mkwe wangu mapepe Fulani hiviWe ndo umepanic!kwani we unajua kwa nini waliachana?halafu huyo si ni mzazi mwenzie shida iko wapi?na hata hivyo kwa maelezo yako hao wakwe zako washakuwa watu wazima miaka 40 iliyopita si mchezo ongeza miaka walokaa kwenye ndoa na kupata watoto,mpaka hapo washakuwa watu wazima na wanajua wanachokifanya.Na je we unajua life style ya Huyo baba na x wife wake baada ya divorce?
Cha msingi kama hutaki kwenda dinner that day usiende,ya ngoswe mwachie ngoswe wao wanajuana!!
Baba mkwe wangu bado yupo na mkewe na mama mkwe wangu mumewe Kafa .suddenly anafanya dinner na anawaalika na mume wangu ni wazazi wake .Mimi sipendi kwa Sababu inaelekea mama mkwe bado anampenda baba mkwe wangu .
X mas na birthday za watoto tunawaalikaga wote Ana behave very strange .mume wangu na wifi yangu hawapendi .its extremely uncomfortable Mara alete wine Mara aanze kucheza noma banaaSasa hapo ushenzi wa tabia nini????????
Kumualika mzazi mwenzie na mkewe ni sawa kabisa, kama angemualika huyo baba peke yake hapo labda ningejiuliza kidogo!! wewe ni mwanamke fikiria umeolewa na umezaa na mumeo watoto hata 4 then mkaachana, wewe ukaolewa tena na babaa akaoa, ukaja ukafiwa, ushindwe kuialika familia ya mume uliezaa nae??????? binasfi sijaona kosa ila naona huyo mama kwa ujane wake anajaribu kutengeza ukaribu na watu, akiwemo huyo mke mwenziea,
Alafu kwenye ndoa mambo kama hayo huwa tunayaangalia tu, kifupi tunasema HAYATUHUSUUUUUUUU,
Kifupi mama yupo sahihi kwa kua kawaalika wote mume na mke, hata dini yetu katoliki haikataziii kwasababu sio zambi na sidhani kama ana nia mbaya. na wala sio uswahili ila ni udhungu zaidi, huyo mama lazima shule ipo. mengine jiongezeeee.
Mume wangu na wifi yangu walimuuliza kulikoni.mama mkwe wangu mapepe Fulani hivi
Alimuacha baba mkwe wangu wakati mume wangu Ana miaka 2 na dada ake 1.akaingia mtini akaolewa gold digger.rich man after rich man sasa mumewe akafa ghafla akaanza kujialika mwenyewe.na huyo mumewe alikuwa very abusive .ndo mana nimekuuliza unajua SBB ya wao Ku divorce na mazingira ya divorce yao?hapa ndo utajua kama mama mkwe wako bado anampenda mume wake wa zamani au la!!huenda anataka kampani tu.
Baba mkwe wangu bado yupo na mkewe na mama mkwe wangu mumewe Kafa .suddenly anafanya dinner na anawaalika na mume wangu ni wazazi wake .Mimi sipendi kwa Sababu inaelekea mama mkwe bado anampenda baba mkwe wangu .
Alimuacha baba mkwe wangu ila alivyotaka kurudi baba mkwe wangu alamtosa.hawa ni wazungu they kill for love that is my fearndo mana nimekuuliza unajua SBB ya wao Ku divorce na mazingira ya divorce yao?hapa ndo utajua kama mama mkwe wako bado anampenda mume wake wa zamani au la!!huenda anataka kampani tu.
Mama mkwe wangu alimweleza mume wangu bado anampenda mumewe wa zamani
Hako ni kapepo ka wivu, uzandiki na uchonganishi KEMEA he is her x not enemy tena anawaalika na mkewe, na wana mtoto/watoto sionj hata doubt inatoka wapi
Alikuwa Ana cheatKuna sehemu nilishawahi soma kwenye biblia japo siyakumbuki vizuri Yale maneno ni kitabu gani.Biblia imesisitiza usimwache mke wako wa ujana,na imesisitiza kuwapenda wake wa ujana,hivyo huyo mama kama kweli alikuwa mkewe halali mi sidhani kama anakosea,ndo mana nikauliza mnajua SBB ya divorce yao?
Alimuacha baba mkwe wangu ila alivyotaka kurudi baba mkwe wangu alamtosa.hawa ni wazungu they kill for love that is my fear