Mkuu nina leseni ya biasharaMkuu usiporudisha hela mtu ataweza kuuza nyumba yako??..
Si unajua huwezi kukopesha kama huna leseni?.
Kuna watu ukichukua pesa kwao hurudishi utahangaika nayo mpaka riba itafikia gharama ya nyumba wanasepa na kijijimkuu nina leseni ya biashara
nina tin namba
nina bank ila siitumiagi mara kwa mara..ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaid ya miezi sita afu mzunguko mkubwa saaana..
mimk nina shida ya hela siku hizi chache
nb..ofcourse ndo maana ya kuweka zamana..nikishindwa atauza nyumba..ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela
Umeandika kirahisi Sana likishafika munaita watu wabaya unajua maana ya dhamanamkuu nina leseni ya biashara
nina tin namba
nina bank ila siitumiagi mara kwa mara..ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaid ya miezi sita afu mzunguko mkubwa saaana..
mimk nina shida ya hela siku hizi chache
nb..ofcourse ndo maana ya kuweka zamana..nikishindwa atauza nyumba..ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela
Sasa kumbe unaweka dhamana ya nini kama unaita mwendawazimu mtu atakae uza dhamana kufidia hela yake. We unatakaje kwani usiporudisha hela za watu kwa wakati?mkuu nina leseni ya biashara
nina tin namba
nina bank ila siitumiagi mara kwa mara..ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaid ya miezi sita afu mzunguko mkubwa saaana..
mimk nina shida ya hela siku hizi chache
nb..ofcourse ndo maana ya kuweka zamana..nikishindwa atauza nyumba..ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela
hiv umetumia akili zote kweli hapo????Sasa kumbe unaweka dhamana ya nini kama unaita mwendawazimu mtu atakae uza dhamana kufidia hela yake. We unatakaje kwani usiporudisha hela za watu kwa wakati?
We unaonekana machinoo Sana wewe
kwa hiyo unataka niandike kwa lugha gani ili ionekane ni ngumu sana au serious sana?Umeandika kirahisi Sana likishafika munaita watu wabaya unajua maana ya dhamana
Wewe hujaelewa leseni anayozungumzia, anamaanisha leseni ya kukopesha fedhamkuu nina leseni ya biashara
nina tin namba
nina bank ila siitumiagi mara kwa mara..ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaid ya miezi sita afu mzunguko mkubwa saaana..
mimk nina shida ya hela siku hizi chache
nb..ofcourse ndo maana ya kuweka zamana..nikishindwa atauza nyumba..ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela
Mzee una shida halafu umejawa na Ngebe pamoja na maneno ya shobo, Calm down watu wanapokuhoji wanataka wajue usalama wa fedha incase wakitaka kukupa, ila sasa naona wewe utakuwa wa kabila lile la Vingereza vingi anyway uza makorokocho yako hayo ya ndani upate hio helakwa hiyo unataka niandike kwa lugha gani ili ionekane ni ngumu sana au serious sana?
mimi nimeandika facts hali niliyonayo katika mambo ya fedha na mikopo..sasa unataka nini cha ziada???
wewe nini maana dhamana???
unajua we mtu mzima!!!!!!!!!
You've nailed it mkuu, mtu wa hivi ukimkopesha ukienda kumdai atakuambia, yaani vihela vidogo unadai utafikir ni bilioni kuumiii??Mzee una shida halafu umejawa na Ngebe pamoja na maneno ya shobo, Calm down watu wanapokuhoji wanataka wajue usalama wa fedha incase wakitaka kukupa, ila sasa naona wewe utakuwa wa kabila lile la Vingereza vingi anyway uza makorokocho yako hayo ya ndani upate hio hela
Kwa muda gani unataka riba ni 20% kwa mwezi uko tayarininahitaji mkopo wa milioni tatu 3.5 ili kuendeleza biashara yangu
dhamana ya nyumba ipo
sijaenda bank kwa kuwa sina tabia ya kutumia bank saaana hivyo basi bank statement yangu sio nzuri.....lakin pia haijafika miezi sita..
tatizo jingine dhamana iko mkoani kagera.na mimi nipo mwanza.....hizi microfinace nyingi hazitii mkopo wenye dhamna ya mbali..
kama kuna aliyetayari kunikopesha naomba anicheck PM
Upo mkoa ganKwa muda gani unataka riba ni 20% kwa mwezi uko tayari
Niko Mara ila lazima uweke vitu vya maana rehani kama gari etcUpo mkoa gan
mkuu nina leseni ya biashara