Kafunga pmmcheki Lloyd Munroe
wewe una hamu ya kutapeliwa!!Goodmorng
Samahani sana nina shida pale TPA naweza pata mtu ani saidie changamoto yangu 🙏
Wewee.mcheki Lloyd Munroe
Ajira zipi mnaanza ujinga mnataka muhonge muingize watoto wenu hatutakiKwan ajira zao deadline bado?
Huyo yupo pale bandarini kupitisha container za silent ocean tumcheki Lloyd Munroe
Ishu gani ni secret sanaGoodmorng
Samahani sana nina shida pale TPA naweza pata mtu ani saidie changamoto yangu 🙏
Kwani hauko huko TPA Mkuu?!Wewee.
Wewe ulisababisha dada wa Watu akaning'ang'ania nimpe Barrow la mtumba.
Wewe Kuna siku utakuja kuniponza.
Umeona alivyojikausha ....Kwani hauko huko TPA Mkuu?!
Kuna ajira wametoa kesho ndo mwisho kutuma maombiAjira zipi mnaanza ujinga mnataka muhonge muingize watoto wenu hatutaki
Omba Ajira PortalKuna ajira wametoa kesho ndo mwisho kutuma maombi