nina shida nauza gari dogo

nina shida nauza gari dogo

mkuu hata kama una haraka ni bora ungeeleza basi hiyo gari ni aina gani, iko sehemu gani na mambo mengine yote yanayohitajika kwenye tangazo la biashara ya gari. pia kama unaamua kufanya biashara basi chagua mtandao mmoja kama vile jamii forums au hiyo whatsup uliyoitaja kuliko kufanya hivi ulivyofanya (tangazo liko jf, maelezo na picha viko sehemu nyingine)
ni ushauri tu
 
Bandiko lako lina mapungufu sana
sasa Mkuu itakuwa busara sana kama
ukirudi tena ukaja na angalau haya yafuatayo:-

Aina ya gari
Mwaka wa matengenezo
Ujazo wa injini
Rangi ya gari
Aina ya mafuta inayotumia
Ina kilometa ngapi
Ndani gari ina nini AC,TV,Radio, n.k


Angalau itasaidia sana wahitaji kutokukuuliza maswali
maana hata mtu akikupigia simu hayo hapo juu
lazima mtu ataanza kukuliza upya.

Jitahidi uweke picha lkn ukishindwa hebu
tutajie baadhi ya hivyo nilivyokutajia.
 
Wadau wameulza mambo ya msingi so weka pic na mambo mengne
 
TP tu huyo.. utakuta na ye kaambiwa kuna mtu anauliza gari bei kadhaa, so na ye anasubiri atumiwe picha kwenye wasap!
Hpls!
 
Wenye pesa zetu hatuna maneno meng,kama namba keshatoa ngoja tchekiane whats up mkuu,jf sio bora kama tsup wakuu kwenye ukweli tuseme tuu
 
Ukisikia biashara ya mbuzi kwenye gunia ndiyo hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom