tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
Kama unashida napesa sema. Acha kurudia rudia vitu vilivyo expiredNikituma utanilipa sh ngapi boss?
https://www.jamiiforums.com/threads...fu-10-kila-mwezi.1254122/page-2#post-21252640
Nakumbuka mahela,mapesa uliyonionyeshea kwenye hio thread yako
Nimevuta na baba yako ya meru ila kaondoka nayo.Umevuta bange ya wapi!!?
Nashukuru sana mkuu ahsanteMkuu umejaribu kupitia kwenye blog tofauti tofauti ambako kuna makala ya kihistoria nahisi unaweza pata kitu
Naombeni sana
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Alijibu Swali Hili BungeniIla umechanganya kidogo hapo mkuu, Zanzibar sio mkoa
Dah mkuu sijui nikushukuru kiasi gani ahsante sana nduguMnara wa Askari, kwenye mitaa ya Samora, Makunganya na Maktaba
View attachment 517267
Ujenzi wa Reli ya Tazara
View attachment 517269
Vichwa vya train za mwanzo za Tazara zikishushwa Bandarini Dar ( Havina tofauti sana na hivi vya sasa vya Kenya)
View attachment 517270
Kawaida kuchanganya mkuuWaziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Alijibu Swali Hili Bungeni