Mr. I don Care
Member
- Nov 20, 2014
- 79
- 134
ShukraniKila la kheri mkuu, Mungu akufanyie wepesi
Tuendelee kuomba Mungu atafanya njia.Aisee zilitoka nafasi za ulinzi SGA mgodi wa GGM, sifa JKT au MGAMBO. Mwezi wa 6 au wa 7 mwishoni huenda zikatoka tena maana wenye sifa ni wachache sana
Mufe moyako mwemo nhe wareaKila la kheri mkuu, Mungu akufanyie wepesi.
Sijakuelewa mkuu hapoMufe moyako mwemo nhe warea
Ntikwentre mbuyaneMufe moyako mwemo nhe warea
Anasema nikupe mchongoSijakuelewa mkuu hapo
Njoo gojokenka mabox gwajungu wareaNtikwentre mbuyaye
Ntikentre passport wanguNjoo gojokenka mabox gwajungu warea
Fenja wang'uNtikentre passport wangu
Ka kovidi ehire ntranjuuFenja wang'u
Mkuu ukitaka ajira humu ndani tembelea thread za Jamii Opportunities naamini hutojuta.Habarini wanajamvi wenzangu,
Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii ninaomba anisaidie baada ya kuumaliza shahada yangu ya kwanza nilijiunga na Jeshi la kujenga taifa (JKT) nimefanya mafunzo na majukumu mbalimbali ndani ya chombo hicho kwa miaka mi3 kuanzia Nov 2017- Dec 2020 bahati mbaya sikubahatika kupata ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama paka mkataba wangu ulipomalizika kwa Sasa nipo Mkoani Arusha.
Umri wangu: 29yrs
Elimu: Shahada katika Uchumi na Takwimu.
Niko teyari kufanya shughuli Yeyote halali mahali popote ndani na Tanzania bila kujali elimu yangu, mazingira wala changamoto mpya.
Sifa
Mwepesi kujifunza vitu vipya, mchapa kazi, Mwaminifu, mcha Mungu, mstahimilivu,mtu wa kufocus kakika kupata matoke chanya katika utendaji lakini pia msiri.
Kwa Yeyote mwenye kuweza kunisaidia au kunishika mkono au hata kunionyesha njia ya kupita tafadhali ninaomba anisaidie na Mimi naahidi sitamwangusha ukinipm nikipata ujumbe wako nitakujibu kwa wakati kwa Jambo lolote kuhusina na uzi huu ikiwemo hata ushauri karibuni sana.
Natanguliza shukrani Zangu za dhati kwenu nyote.
Sawa nitalifanyia kazi hilo ndugu yangu.Mkuu ukitaka ajira humu ndani tembelea thread za Jamii opportunities naamini hutojuta.
Kazi kwako mkuu
πππ Bonyeza hapa kuona Updates za Ajira zote Jamii OpportunitiesSawa nitalifanyia kazi hilo ndugu yangu.
Mkuu kwanini usijiajiri mbona umesomea uchumi.Habarini Tena wanajukwaa?
Nimerudi Tena kwenu ndugu Zangu na uzi wangu huu bado ninahitaji kupata kazi chondechonde nisaidieni mwenzenu Mimi Hali bado ni tete kila kukicha afadhali ya Jana.
Asante sana.