Nina script ya movie ya kiasili kabila la kihaya

busness

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
27
Reaction score
9
Kiufupi Mimi ni mtumishi wa serikali Nimeandaa script nzuri asili ya kabila la kihaya kuna kaela kidogo kama mil5.zamaandalizi ya a wali nahitaji mtu aliyetiyali kucheza awe na ela kidogo tufanikishe Tafadhali aliye tiyali anitafute asiwe tapeli
 
mkuu 'tiyali' ndo nini au ndo kihaya
 
Hapana hii no business hivyo nataka MTU aliye serioua
 
Kama mtumishi wa serikali ndio ana andika hivi,basi haya ni majanga kwa wewe mwenyewe na waliokuajiri. Nchi yetu ina lugha mbili tu za kiofisi ambazo ni Kiswahili na Kiingereza,sasa niambie wewe mtumishi wa serikali usiyejua Kiswahili unajua lugha gani? Tuandikie kwa Kiingereza tukuelewe vizuri. Au huko kwenu full Kihaya nyumbani mpaka ofisini? Any way wazo zuri unalo ya hiyo movie script yako..!!

Kiufupi Mimi ni mtumishi wa serikali Nimeandaa script nzuri asili ya kabila la kihaya kuna kaela kidogo kama mil5.zamaandalizi ya a wali nahitaji mtu aliyetiyali kucheza awe na ela kidogo tufanikishe Tafadhali aliye tiyali anitafute asiwe tapeli
 
Kiufupi Mimi ni mtumishi wa serikali Nimeandaa script nzuri asili ya kabila la kihaya kuna kaela kidogo kama mil5.zamaandalizi ya a wali nahitaji mtu aliyetiyali kucheza awe na ela kidogo tufanikishe Tafadhali aliye tiyali anitafute asiwe tapeli

uko mkoa gani? pm me your details, I can hook you up with potential partners
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom