Nina safari ya kutoka Dar kwenda Arusha, nipande basi gani zuri?

Hakuna mkoa wa kaskazini.Panda BM coach.
Moshi na Arusha nikama dar na chalinze.
Kama ukifika vungo weka simu yako kwenye begi ufunge viyoo vya dirisha uwe mpole.Kama umampango wa kufika arusha ujiandae kukutana na wajuba hatari zaidi ya moshi.
uongo mtupu ...hakuna wizi wa hovyo hovyo kama mnavyoamnishwa huko
 
Back
Top Bottom