Nina sababu Tilioni za kumchagua Magufuli

kwa sababu zako zote ulizonazo hujatuambia haya:
1. Ni vision ipi JPM aliyonayo kwa tanzania
2.Umetumia nini kusema kwamba jamaa ni muadilifu 100%
3.Hivi JPM kupitishwa ilikuwa ni sababu ya kukubalika au ni matokeo ya VITA YA PANZI?
4.Kazi ya UBONGO kwa mtanzania wa sasa.
"matumbo yasichukue nafasi ya vichwa" ...shalom aleichèm!...
 
Najua kwa watu wenye iq ndogo najua watapata mihemko mikubwa sana,lakini kwanini nasema nina sababu tilioni za kumchagua magufuri kwa sababu zifuatazo

1.Magufuri alikuwa waziri wa kwanza kuto pwaya katika wizara yeyote ile aliyo teuliwa.
2.Magufuri ni kiongozi mwenye vision kubwa sana na nchi hii.
3 .Magufuri ni kiongozi ambaye uadilifu wake hauna mashaka kwa 100%
4.Magufuri ni kiongozi ambaye hajawahi kuomba kuteuliwa na chama chake kugombania uraisi zaidi ya mara moja,hii ina maana ni mtu anaye jiamini na kukubalika na ndio maana alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza tu akateuliwa.
5.Magufuri ni zaidi ya Tinga Tinga na ni zidi ya Raisi.
6.Magufuri ndio kiongozi tunaye muhitaji kwa Tanzania ya sasa.

Mwisho ccm tutashinda kwa kishindo,iwe ni kwa bao la mkono au bao la goti au bao la kisigino hata ikiwezekana kwa kiungo chochote cha mwili wa binadamu TUTASHINDA.

#HapaKaziTu#TeamMagufuri

1441945589432.jpg
 
Kushinda kwa magufuli hilo halina ubishi tena kwa kishindo, Nakwambia subiri uone kiongozi jinsi ukawa watakavyoparaganyika baada ya oktoba. Mungu aliye hai yu pamoja na watanzania hakika lazima tupate Rais chaguo la Mungu
 
Tilioni ndio nn..?

Ma CCM vibuyu kweli...vichwa zero kabisa..

Lowassa ndio Rais ajaye...!! full stop
 
Lowassa mpango mzima

viroba vina athari kubwa kwa ubongo, umechoka huezi fanya maamuzi ya busara wewe, el anakufaa wewe na familia yako watanzania hawachaguliwi Rais na watu waliochoka kufikiri kama wewe
 
rAISI WA LIBYA...SADAM Hussein, SADAM ALIKUWA RAISI WA IRAQ...hAYA NDIO MANENO YA MAgUFULI, UTAONA NI JINSI gANI JAMAA ANAJUA KUKARIRI MAMBO BILA KUYAFANYIA UTAFITI...TUKIMChAgUA MTU KAMA hUYU UJUE TUTAKUWA TUMETUMBUKIZWA KWENYE TOPE....hASTAILI KUWA RAISI, ATAKARIRIShWA NOTICE NA WAPIgA MADILI WALIOPO OFISI YA RAISI PASIPO KUFANYIA UTAFITI NA UELEWA WA LK9-IShEIKAY.

Sahihisho hakusema IRAQ alisema KUWAIT
 
Huyu aliyeandika hii Topic atakuwa Diamond au wanafanana kiakili maana uandishi huu sidhani kama ni wa GT.
 
Najua kwa watu wenye iq ndogo najua watapata mihemko mikubwa sana,lakini kwanini nasema nina sababu tilioni za kumchagua magufuri kwa sababu zifuatazo

1.Magufuri alikuwa waziri wa kwanza kuto pwaya katika wizara yeyote ile aliyo teuliwa.
2.Magufuri ni kiongozi mwenye vision kubwa sana na nchi hii.
3 .Magufuri ni kiongozi ambaye uadilifu wake hauna mashaka kwa 100%
4.Magufuri ni kiongozi ambaye hajawahi kuomba kuteuliwa na chama chake kugombania uraisi zaidi ya mara moja,hii ina maana ni mtu anaye jiamini na kukubalika na ndio maana alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza tu akateuliwa.
5.Magufuri ni zaidi ya Tinga Tinga na ni zidi ya Raisi.
6.Magufuri ndio kiongozi tunaye muhitaji kwa Tanzania ya sasa.

Mwisho ccm tutashinda kwa kishindo,iwe ni kwa bao la mkono au bao la goti au bao la kisigino hata ikiwezekana kwa kiungo chochote cha mwili wa binadamu TUTASHINDA.

#HapaKaziTu#TeamMagufuri

Aahaa kama ni hayo tuu Haki yako kabisa ya msingi,,maana Kura ni Haki yako,imani yako,na siri yako..hivyo basi timiza tuu lengo lako.na wengine watatimiza yao ..25October ndio utajua kwamba Wananchi wengi walimuona kama ulivyomuona wewe au?????
 
Najua kwa watu wenye iq ndogo najua watapata mihemko mikubwa sana,lakini kwanini nasema nina sababu tilioni za kumchagua magufuri kwa sababu zifuatazo

1.Magufuri alikuwa waziri wa kwanza kuto pwaya katika wizara yeyote ile aliyo teuliwa.
2.Magufuri ni kiongozi mwenye vision kubwa sana na nchi hii.
3 .Magufuri ni kiongozi ambaye uadilifu wake hauna mashaka kwa 100%
4.Magufuri ni kiongozi ambaye hajawahi kuomba kuteuliwa na chama chake kugombania uraisi zaidi ya mara moja,hii ina maana ni mtu anaye jiamini na kukubalika na ndio maana alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza tu akateuliwa.
5.Magufuri ni zaidi ya Tinga Tinga na ni zidi ya Raisi.
6.Magufuri ndio kiongozi tunaye muhitaji kwa Tanzania ya sasa.

Mwisho ccm tutashinda kwa kishindo,iwe ni kwa bao la mkono au bao la goti au bao la kisigino hata ikiwezekana kwa kiungo chochote cha mwili wa binadamu TUTASHINDA.

#HapaKaziTu#TeamMagufuri

Ni trillion sio tilioni
 
Back
Top Bottom