Nina rafiki yangu wa kike nampenda sana ila sijawahi kumuambia

denny92

Member
Mar 12, 2017
33
23
Habari zenu ndugu zangu mimi nina rafiki yangu wa kike tena ni washikaji sana ila kiukweli mimi nampenda sana na natamani awe mpenzi wangu.ila kiukweli simuelewi kitu kimoja kuna siku alishanionesha mshikaji wake na nikaumia kimoyomoyo bila yeye kujua ila tatizo mimi huwa namu actia nikimuona demu kama niko nae najisemesha "daaah yule demu mzuri natamani nikamtongoze"namuona anakasirika anasema achana nao hao ni malaya kila demu yeye anasema malaya na nikimuuliza yupi anahisi ananifaa mimi mara anasema nitakutafutia mara anabadili anasema kwanini unataka demu.sasa jamani huyu ananitakia mema au
NB:UJUMBE HUU:):):) KUTOKA KWA RAFIKI YANGU MWENYE TATIZO NOT ME
 
ukiona hivyo ujuee tayarii ndege kashanasa kwenye urimbo ni wewe tu umebaki kumtegua au kumwacha afeee
 
Mkuu
Habari zenu ndugu zangu mimi nina rafiki yangu wa kike tena ni washikaji sana ila kiukweli mimi nampenda sana na natamani awe mpenzi wangu.ila kiukweli simuelewi kitu kimoja kuna siku alishanionesha mshikaji wake na nikaumia kimoyomoyo bila yeye kujua ila tatizo mimi huwa namu actia nikimuona demu kama niko nae najisemesha "daaah yule demu mzuri natamani nikamtongoze"namuona anakasirika anasema achana nao hao ni malaya kila demu yeye anasema malaya na nikimuuliza yupi anahisi ananifaa mimi mara anasema nitakutafutia mara anabadili anasema kwanini unataka demu.sasa jamani huyu ananitakia mema au
NB:UJUMBE HUU:):):) KUTOKA KWA RAFIKI YANGU MWENYE TATIZO NOT ME[/QUOTE
Mkuu naona idd zinataka kufanana? Anyway karb jamvini as new member
 
Huyo anakumiliki bila huduma yoyote.. Yani amekushikilia tu usiwe na manzi alafu na yeye hatoi huduma kwako
 
we unakuaje na urafiki na mwanamke kiasi iko mwisho atakufundisha umbea kama hivo.
piga kazi anakupenda huyo
 
Back
Top Bottom