Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?

Nakushauri ufungue sehemu ya kisasa ya kuchezesha play station, wadau wapo wengi lakini huduma hii ipo sehemu chache na vifaa ni vya kiwango cha chini.
 
Kyela na pale boda ya kasumulu ivi pana biashara gani hasa zinazolipa pale
 
Unaweza anzisha kampuni ya uzalishaji wa kuku wa nyama na mayai pia biashara ya kuuza vifaranga return nzuri baada ya miezi 5 or less wateja ni wengi huduma zilizopo ni poor
 
Kama unazijua fursa pande zile tafadhali kama hutojali weka hapa ili na wengine tuangalie chakufanya mkuu natanguliza shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…