keimedia.blogspot
Member
- Dec 13, 2013
- 8
- 15
Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?
unamtaji wa 5-10m.kwa hiyo una sh.ngapi sasa.
sema mvua imezingua.ingekuwa kipindi cha nyuma mwezi Feb wanavuna maharage.ungeyanunua hayo ukayasogeza mbele kidogo ungepata margin ya 40%.
Kyela na pale boda ya kasumulu ivi pana biashara gani hasa zinazolipa palesema mvua imezingua.ingekuwa kipindi cha nyuma mwezi Feb wanavuna maharage.ungeyanunua hayo ukayasogeza mbele kidogo ungepata margin ya 40%.
Otherwise mzunguko wa hela Mbeya mjini ni wa hovyo sana.uko likely kupoteza mtaji wako.Labda uende Kyela, Mbarali au Tunduma ukaangalie fursa huko
Si ushafungua blog sasa biashara gani nyingine tukushauri bro?Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?
Kama unazijua fursa pande zile tafadhali kama hutojali weka hapa ili na wengine tuangalie chakufanya mkuu natanguliza shukuranisema mvua imezingua.ingekuwa kipindi cha nyuma mwezi Feb wanavuna maharage.ungeyanunua hayo ukayasogeza mbele kidogo ungepata margin ya 40%.
Otherwise mzunguko wa hela Mbeya mjini ni wa hovyo sana.uko likely kupoteza mtaji wako.Labda uende Kyela, Mbarali au Tunduma ukaangalie fursa huko
kuna fursa gani ukoNjoo masasi