Nina mtaji wa Tsh milioni 5-10. Hapa Mbeya Mjini naweza kufanya mradi/biashara gani yenye profit margin nzuri?

...

20211221_232843.png
 
sema mvua imezingua.ingekuwa kipindi cha nyuma mwezi Feb wanavuna maharage.ungeyanunua hayo ukayasogeza mbele kidogo ungepata margin ya 40%.

Otherwise mzunguko wa hela Mbeya mjini ni wa hovyo sana.uko likely kupoteza mtaji wako.Labda uende Kyela, Mbarali au Tunduma ukaangalie fursa huko
Kyela na pale boda ya kasumulu ivi pana biashara gani hasa zinazolipa pale
 
sema mvua imezingua.ingekuwa kipindi cha nyuma mwezi Feb wanavuna maharage.ungeyanunua hayo ukayasogeza mbele kidogo ungepata margin ya 40%.

Otherwise mzunguko wa hela Mbeya mjini ni wa hovyo sana.uko likely kupoteza mtaji wako.Labda uende Kyela, Mbarali au Tunduma ukaangalie fursa huko
Kama unazijua fursa pande zile tafadhali kama hutojali weka hapa ili na wengine tuangalie chakufanya mkuu natanguliza shukurani
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom