Nina mtaji wa Tsh 1,500,000, nifanyaje ili kuizalisha?

makakara

Member
Feb 14, 2013
30
2
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web designer video producer.

KAZI NILIYOKUWA NAFANYA KAMA IMEFIKIA MWISHO WAKUU SO CNA JINS TENA naombeni ushaur
 
Sasa si ukanunue camera nzuri uanze kufanya videos au? em zitaje hizo specs za computer zako naweza kukuachia hela kidogo kama tukielewana....
 
Hajakwambia anauza computer ameomba ushauri kuwa ana mtaji wake afanye nn ili tarehe za maisha zibadirike bila tabu akiwa na huo mtaji wake
 
Kaka unamtaji wa kutosha kabisa, sasa waweza fanyaivi....Tafuta sehemu yenye mzunguko mzuri wa watu na printer, kuna printer flani hivi zinauzwa 250,000 ni nzuri na imara (nimesahau jina lake) fungua stationary,humohumo unaweza kuanzisha studio ya kusafisha picha na kutengeneza videoz za matukio kama sherehe na vinginevyo.

Huo ndio ushauri wangu..
 
Kabla sijatoa ushauri wangu, ninependa kukuuliza ni vitu gani hasa unapendelea kufanya vitu gani hasa? Ni vyema tukatoa ushauri katika "scope" ya vitu unavyopenda kufanya. Maana "idea" za kuzalisha hiyo 1.5 ni nyingi mno kama ndugu Kizzy Wizzy alivyoonyesha kwa idea ya stationery.
 
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc kubwa pamoja na mashine moja ya kunyolea {wahl 300} mpya ujuzi mwingne graphics designer,web designer video producer.

KAZI NILIYOKUWA NAFANYA KAMA IMEFIKIA MWISHO WAKUU SO CNA JINS TENA naombeni ushaur

ntafute kwanza nina issue
 
kamuulize chenge..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom