Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,456
- 2,439
Mwanaume mkuuHifadhi umepewa na mwanaume au mwanamke?
Niunganishe kwanza na huyo Issa mkuu.Karibu home city boyy
Zama orofea hapo
1.....Kadake hata mans trousers 10 zuga nazo kitaa
2.....shuka zako zizi la ng’ombe pale ...shuka hadi ruwaha kule kunakazi zakupakia matofali
3......samola stadium nje pale kuna tipa hua zinapaki
Jichangganye pale upakie mizigo
4......kuna jamaa yangu anaitwa issa hua anapakia mizigo inayotoka dsm kuja iringa
Ikifika yown hua anapakilisha kwenye magari ili kusambaza
Nkuunganishe nae?
5....... ukikutana na@Miss Renee msalimie
Mwanaume mkuu
Nalitambua hilo mkuu, thats why nimekuja hapa kupata mawazo yenu pia.Soma kwanza mazingira usikurupuke bro uangalie unaanzje muombee mungu akuongoze
Hapo ni pa kudumu, fata masharti tu.
Aisee nisamehewe, nilijua mtoa mada ni wa kikeMbona mnalazimisha makazi ya kudumu kwa mwanaume mwenzio utakuwa na nia mbaya na marinda ya mdoa mada mkuu
Aksante jombaa angalia sasa namna yakupambana sio kulialia komaa kiume hizi nyuzi usifunguefungue tuu maana nimeanza kukutathmini kwa tayari una smart phone itakugharimu vocha na garama nyingine nikushauri uuze hivyo simu angalau mtaji upande hata ufike 150,ukipata kibarua hivyohivyo unasema kama kweli una maanisha mwaka utakua sehemu ingineShalom,
Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.
Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara huku nikiendelea kutafuta namna sahihi ya kujikwamua.
Nahitaji mawazo yenu wakuu, nifanye kitu gani kwa hicho kiasi cha pesa kwa hapa Iringa mjini?
Awali ya yote, SHUKURANI!
Sina smartphone mkuu, naperuzi JF kutumia Freebasics ya Opera mini.Aksante jombaa angalia sasa namna yakupambana sio kulialia komaa kiume hizi nyuzi usifunguefungue tuu maana nimeanza kukutathmini kwa tayari una smart phone itakugharimu vocha na garama nyingine nikushauri uuze hivyo simu angalau mtaji upande hata ufike 150,ukipata kibarua hivyohivyo unasema kama kweli una maanisha mwaka utakua sehemu ingine
Thank me later
Asante kwa maoni mkuu.tafuta kibarua kwanza mkuu. 60,000 kwa kuanzia biashara inawezekana lakin ni ndogo mno ukizingatia wew sio mwenyeji wa eneo hilo. so tafuta vibarua kwanza uongeze mtaji huku ukiendelea kusoma ramani za hapo.
Freebasic Operamin mtandao gani huo bado una freebasicSina smartphone mkuu, naperuzi JF kutumia Freebasics ya Opera mini.
Thanks kwa maoni pia.
Kamwene! Beh..Karibu home city boyy
Zama orofea hapo
1.....Kadake hata mans trousers 10 zuga nazo kitaa
2.....shuka zako zizi la ng’ombe pale ...shuka hadi ruwaha kule kunakazi zakupakia matofali
3......samola stadium nje pale kuna tipa hua zinapaki
Jichangganye pale upakie mizigo
4......kuna jamaa yangu anaitwa issa hua anapakia mizigo inayotoka dsm kuja iringa
Ikifika yown hua anapakilisha kwenye magari ili kusambaza
Nkuunganishe nae?
5....... ukikutana na@Miss Renee msalimie
Umechemka kamanda lugha za watu. Hizo😅😅Kamwene mnofu
Ndimnofwela, za filoKamwene mnogage