Gitarijosenga
JF-Expert Member
- Aug 3, 2019
- 276
- 273
Maoni yako yatazingatiwaMbona inaonekana unajua kila kitu
Modern retail shops malls zinahitaji kuepo kwa strong middle class income, pamoja na kua with strong purchasing power and habit,.....Kibaha morogoro mbezi mlandizi kuna ma peasant wengi na watumishi wenye kipato duni, labda hiyo mall uiweka Dar tena sio kala sehemu, Tz sehemu nyigi hilo tabaka halipo watu wengi wanapendelea kununua vitu kwenye magenge na viduka vya ajabu ajabuWenye uelewa Wa biashara ya retail na kufanya investment analysis wanaweza kunipa tips ,eneo gan linafaa kujenga mall kubwa ya kisasa kwa kibaha kwa kuzingatia high way ya lane 12 ya Kimara -Kibaha
N:B Biashara inalipa ilifanywa kwa akili na utafiti kwanza
Kibaha ina watu wenye mindset ya aina gan?Na je Kibaha panafaa kujenga mall kubwa ?
Asante mkuu naona wengi hawakunielewa,MHe.Rais JPM anajenga Njia 12 Kimara kibaha ,popote duniani penye lane said l ya 5 ,huwa kuna kuwa investment kubwa sana ,believe you me ,hii barabara ya lane 12 italeta watu wengi sana along morogoro super high way ,watu wengi inaaamanisha uwekezaji na biashara ,nitazingatia maoni yako mkuuMmmh watu wengine wa ajabu sana.
Tusipende kuwasema watu wa pwani bila kujua investment plan ya mhusika. Kusema watu wa pwani spending power yao ndogo na primitive society ..... hebu tuangalie pale Chalinze msolwa kuna kituo cha mafuta lakini mauzo yao ya ya ile mini super market ni zaidi ya ya shoping centres za mlimani City.
Investment plan yako ndio itafanya centre yako ichangamke hasa kama utaweza kutoa aina mbali mbali za huduma hasa wasafiri. Pricing strategy ya operators, michezo mbali mbali kwa makundi tofauti na juzingatia culture ya mahalia.
Ukizingatia hayo hata uieweke Kibiti haitakosa wateja.
Appearance also matters hivyo architectural design matters
Duh! Eti mauzo ya minisuper market ya msolwa chalinze inazidi mlimani city? Are you serious? Kiapartment kidogo cha kupanga tu unajua kodi yake? Nachenyewe kabwela uwezi kukipata alafu useme m/city hakuna biashara? Wengi m/city wanafanya online trading too!Mmmh watu wengine wa ajabu sana.
Tusipende kuwasema watu wa pwani bila kujua investment plan ya mhusika. Kusema watu wa pwani spending power yao ndogo na primitive society ..... hebu tuangalie pale Chalinze msolwa kuna kituo cha mafuta lakini mauzo yao ya ya ile mini super market ni zaidi ya ya shoping centres za mlimani City.
Investment plan yako ndio itafanya centre yako ichangamke hasa kama utaweza kutoa aina mbali mbali za huduma hasa wasafiri. Pricing strategy ya operators, michezo mbali mbali kwa makundi tofauti na juzingatia culture ya mahalia.
Ukizingatia hayo hata uieweke Kibiti haitakosa wateja.
Appearance also matters hivyo architectural design matters
Sawa mzee babaDuh! Eti mauzo ya minisuper market ya msolwa chalinze inazidi mlimani city? Are you serious? Kiapartment kidogo cha kupanga tu unajua kodi yake? Nachenyewe kabwela uwezi kukipata alafu useme m/city hakuna biashara? Wengi m/city wanafanya online trading too!
Mini supermkt ya Oil station ni zaid ya Mlimani CityMmmh watu wengine wa ajabu sana.
Tusipende kuwasema watu wa pwani bila kujua investment plan ya mhusika. Kusema watu wa pwani spending power yao ndogo na primitive society ..... hebu tuangalie pale Chalinze msolwa kuna kituo cha mafuta lakini mauzo yao ya ya ile mini super market ni zaidi ya ya shoping centres za mlimani City.
Investment plan yako ndio itafanya centre yako ichangamke hasa kama utaweza kutoa aina mbali mbali za huduma hasa wasafiri. Pricing strategy ya operators, michezo mbali mbali kwa makundi tofauti na juzingatia culture ya mahalia.
Ukizingatia hayo hata uieweke Kibiti haitakosa wateja.
Appearance also matters hivyo architectural design matters
mkuu umenichekesha mall kigamboni itamlipa kuna middle class ipo kubwa kuanzia mitaa ya nyumba za nssf huku mikwambe mji mwema hadi ferry utapata wauza sura wa kuja ku fake maishaKibaha kweli jaman usidhubutu wataalamu wabiashara wanasema biashara ni eneo na eneo ndo soko lenyewe ila kwa kibaha hapana hiyo mall bora ukajenge mbagala rangi tatu mara 1,000
Shida sana nani kakuambia kwamba malls ni kwa kuuzia sura ?haiko hivyo nchi zingine wanaoenda kwenye malls ni watu masikin sanamkuu umenichekesha mall kigamboni itamlipa kuna middle class ipo kubwa kuanzia mitaa ya nyumba za nssf huku mikwambe mji mwema hadi ferry utapata wauza sura wa kuja ku fake maisha
Nazungumzia kwa context ya bongo mtu anatoka mbagala kwenda mlimani city kununua maji ya sh 1000 na kujipiga picha aonekane yuko mbeleShida sana nani kakuambia kwamba malls ni kwa kuuzia sura ?haiko hivyo nchi zingine wanaoenda kwenye malls ni watu masikin sana
Nazungumzia kwa context ya bongo mtu anatoka mbagala kwenda mlimani city kununua maji ya sh 1000 na kujipiga picha aonekane yuko mbele