Mpotezee kuhusu kumtongoza kabisa, we endelea kumsifia na kumsalimia, polepole utamsikia. Usiwe na haraka sana, Mwanamke kukupa moyo wake kwa anayejielewa huwa siyo haraka sana kivile, otherwise kama anatengeneza spare.
Salam Wakuu!
Kwa kweli miaka ya nyuma nilikuwa napata wakati mgumu sana ninapomtongoza mwanamke halafu anajibu simple tu 'Nina mpenzi wangu'
Nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu mwili mzma Mwisho wa siku nakosa totoz kwa sababu stimu za kuendelea kumuimbisha zinakata kabisa!
Wenzangu mlikuwa mnasolve vp mkikutana na jibu kama hili?