soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,347
- 2,160
Siku hzi hawaniumiz kichwa kabisa mkuuunasingizia miaka ya nyuma si useme kweli kuwa hadi leo bado unapata wakat mgumu ili tukusaidie mdau
Upo sahihi ila utakuta umetokea kumpenda mtu mpaka unaona dhambi kumkosaNawaheshimu sana wanaosema wanawapenzi...ninawashukuru na kutambaaa
Siku hzi wapo sokoni mda wowote akizengua tu unahamia kwa mwengineKatika pita pita zangu hilo neno sijalisikia mda mrefu kidogo
Nadhani siku hizi limeacha kutumika.
Vp mamii kuna tatzo?mmmmmmmmmmmmJamaniiiiiiiiii...
Afu mwisho wa siku anajirudi. Sijui huwa tunabadirika???. Kama unampenzi endelea nae tu hakuna kurudi na kuanza kujipendekeza. Cha ajabu hawa watu wakijipendekeza usipowatongoza wanakutangazia bwa bwa. Hiki kitabia kinauzi hakuna mfano. Kwanza wajue na wanaume wanahisia so akikutosa unamzushia bwa bwa akati ulikataa na kusingizia nyumba yako wapangaji wamejaaNawaheshimu sana wanaosema wanawapenzi...ninawashukuru na kutambaaa
unasingizia miaka ya nyuma si useme kweli kuwa hadi leo bado unapata wakat mgumu ili tukusaidie mdau
Kula 5Unakomaa nae tu... mwanzo mwanamke anakujibu chochote kile... kadri unavyozidi kumfuatilia mnazoeana na inawezekana akakukubalia kumaliza usumbufu au akakupenda kabisa...
Hakuna Dadiiiii lakini mmmmmmmmmmm...haya...Vp mamii kuna tatzo?
Fanya Unipe mkataba wa kudumu kwenye jimbo lakoHakuna Dadiiiii lakini mmmmmmmmmmm...haya...
Teh..Naona Umeamua uanze kabisa kuimbishaFanya Unipe mkataba wa kudumu kwenye jimbo lako
wamegundua linawacost!Katika pita pita zangu hilo neno sijalisikia mda mrefu kidogo
Nadhani siku hizi limeacha kutumika.