Jitahidi kubadilisha mtazamo, kama kina yes sir wabongo wamekushinda sasa kina equal rights sidhani kama utawaweza. You need an overhaul ya mtazamo wako wa wanawake na nafasi yao kwenye mahusiano.
Pia tabia ni ya mtu binafsi so pamoja na general observation ya hapo juu, bado waweza pata chakaramu au a saint! Good luck!
uje umeshajikirimu na kalikiti, nimechoka kukaa na gozi nyeusi sasa nataka mzungu hata feki.
Wazungu watakufikisha kileleni lakini?
Mimi natafuta Mhindi, kuchukuchu hotae!
warusi bomba, nikimpata hata leo naoa, wenzetu wanajf mlioko russia tafadhalini fanyeni mpango
tena, kwa matokeo mazuri zaidi oa mrusi.
Russia noma mkuu, kama siyo kwamba ana alikozimikia tayari namshauri atupie jicho wa-Scandinavia. Mvuto kwa kwenda mbele na hawana njaa kihivyo!tena, kwa matokeo mazuri zaidi oa mrusi.
Russia noma mkuu, kama siyo kwamba ana alikozimikia tayari namshauri atupie jicho wa-Scandinavia. Mvuto kwa kwenda mbele na hawana njaa kihivyo!
kuna mmoja kaolewa na mkurya anapika kirunguri na kichuri kama kawa.
Huwa hawaachiki hata umfanyeje.
tena, kwa matokeo mazuri zaidi oa mrusi.
hello ndugu zangu wana Jf.Mabinti wa kibongo wamenishinda hivyo nalazimika kuchukua uamuzi wa kubadilisha blood ya ukoo yaani nataka kuoa mzungu kwani kuna baadh yao wazuri na wanafahamu jinsi ya ku handle.Hawa wakibongo nashndwa kuwaelewa sijui umaskini au lah alafu wana mambo mengi sana.!nimetokea kupenda mzungu.