HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Yes kuwaaminisha some people ili nifanye kazi moja hiviSidhani kama nitakuwa nimekuelewa vizuri,so nikusema ukisha fake hiyo death kuna manufaa yoyote tutayapata kutokana na hilo tukio?
Fafanua vizuri siyo ukapige hela huko then utuchomeshe sisi mahindi hapa.
Tumeshavuka viwango hivyo zamani sanaKama sio deni basi ushakwichikwichi mke wa mtu
Cha msingi atapeli pesa alafu afake death akaibukie visiwa vya mbali aendelee na maishaSidhani kama nitakuwa nimekuelewa vizuri,so nikusema ukisha fake hiyo death kuna manufaa yoyote tutayapata kutokana na hilo tukio?
Fafanua vizuri siyo ukapige hela huko then utuchomeshe sisi mahindi hapa.
Hhh[emoji23] niliwahi kuwa na mawazo ka yakoHabari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada
Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu mzuri inanibidi kutengeneza kifo (Fake Death) ili kuwaaminisha baadhi ya watu kuwa nimekufa ili niwe huru kufanya baadhi ya mambo nitareta mrejesho soon
Utakuwa ujinga kutapeli na kukimbiaCha msingi atapeli pesa alafu afake death akaibukie visiwa vya mbali aendelee na maisha
Uliishia wapiHhh[emoji23] niliwahi kuwa na mawazo ka yako
Nilighaili baada ya kushauriwa sana na washkajiUliishia wapi
Yes kuwaaminisha some people ili nifanye kazi moja hivi
Nilighaili baada ya kushauriwa sana na washkaji
Nipe uzoefuNilighaili baada ya kushauriwa sana na washkaji