Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
mmmh usione kichaka mavi hayoooJieleze vizuri hapa ndo jamvi kubwa utampata wako kabisa. Tupia profile chap chap watu waithaminishe
mmmh usione kichaka mavi hayoooJieleze vizuri hapa ndo jamvi kubwa utampata wako kabisa. Tupia profile chap chap watu waithaminishe
mamaaa bora umeshtuka mapema mimi nilianza kukumbwa na hali hiyo nikiwa na 19yrs now ten yrs mbele hakuna mabadiliko. Huna utoto wowote huo ndio muda wakupata muwafaka mapemaMimi ni msichana wa miaka 23, katika maisha yangu ya mapenzi nimejikuta natongozwa sana na waume za watu au mwanaume ambe yupo kwenye mahusiano , jambo hili limedumu sasa kwa miaka 3 yani hadi ma baba wa rafiki zangu au kaka zao wananisumbua nina boyfriend ila pia ni mchuba wa mtu.
Nifanye nini nataka nipate wangu, wangu peke yangu .Nisaidieni jamani hivi inaweza kua nina mkosi
Ahahaha...powleeee!
Ila on a serious note hebu msaidie kumweleza kuwa hajachelewa infact i think anajaribu kukimbilia maisha!!! there is a time when you need to be single and enjoy being single....most people dont understand this! yani hudhani as long as ashaanza kupata erection na chuchu zinasimama basi lazima awe na girlfriend/boyfriend who in actual sense are just sexmates!
^^
Loo! Nilidhani peke yangu
^^
nawe ulikuwa mdogo, wenzako 30da watoto wa siku hizi me nilimjua mwanaume when i was 25
Mbona wako umeshampata? Ondoa shaka sweetito mpenzi mwema asiye na mpenzi mwingine nimewasili.
Mie naitwa saudari, ni dume la mbegu niliyekamilika kila idara, ni mpole, mkarimu, mpenda watu, nisiye na mchumba wala nini, nami nilikua natafuta wangu peke yangu, nimmudu niwezavyo.
Naamini sasa nimempata aliye wangu nawe pia umempata uliyekua unamhitaji.
Amini nakuambia "hakuna cha mkosi wala nini kwani leo hii umekutanishwa na yule aliyepangwa kuwa wako".
Jaribu kusogelea PM tuongee vizuri.
Kuna uwezekano mkubwa ukawa very beautiful na siku hizi masela wanataka vibungo ili wawe peke yao(according to them) ndio maaana inakupa shida kumpata msela wa ukweli nakushauri cool down coz mapenzi hayana alosto vumilia utakuja kupata wako ukiendelea kurukaruka kuna siku utakanyaga waya na ukakaushwa na shotiMimi ni msichana wa miaka 23, katika maisha yangu ya mapenzi nimejikuta natongozwa sana na waume za watu au mwanaume ambe yupo kwenye mahusiano , jambo hili limedumu sasa kwa miaka 3 yani hadi ma baba wa rafiki zangu au kaka zao wananisumbua nina boyfriend ila pia ni mchuba wa mtu.
Nifanye nini nataka nipate wangu, wangu peke yangu .Nisaidieni jamani hivi inaweza kua nina mkosi
23yrs unasema mdogo? Huku ataukiwa na 48 utaambiwa mbona bado mtoto, 23yrs ndio umri powapole sana....ila bado mdogo wewe...
Latifaa..huo umri bado bana....huyo si bado atakua chuo(kama anasoma)....au kama kitaa bado atakua na kauteneja kidogo ...atleast 25yrs....lakini kutongozwa na watu waajabu ajabu nayo sio nzuri....23yrs unasema mdogo? Huku ataukiwa na 48 utaambiwa mbona bado mtoto, 23yrs ndio umri powa
wakuolewa
Mimi ni msichana wa miaka 23, katika maisha yangu ya mapenzi nimejikuta natongozwa sana na waume za watu au mwanaume ambe yupo kwenye mahusiano , jambo hili limedumu sasa kwa miaka 3 yani hadi ma baba wa rafiki zangu au kaka zao wananisumbua nina boyfriend ila pia ni mchuba wa mtu.
Nifanye nini nataka nipate wangu, wangu peke yangu .Nisaidieni jamani hivi inaweza kua nina mkosi