Kutokana na ugumu wa maisha nimejiwekea mpango wa kuwa na mpenzi lakin sitaki serious relationship na huwa nakuwa muwazi siku zote kwa wadada kwamba mm sitak serious relationship .. lakin after few days demu Ana aanza kuniganda na kudai anataka nimuoe ... na sio mmoja... ilo swala lime nitokea Mara nyingi sana .... nashindwa kuelewa Kwa nn !
We unadhani ni nani anataka kuchezewa? Mawazo ya wanawake wengi yana focus ndoa. Unataka wa "hit en run' opt dada poa.
Hiyo heading ilivyokaa nikajua kuwa kila akitongoza anapigwa chini kumbe wanampenda mpaka wanamganda?kazi anayo
ndo nakwambia hao ving'ang'anizi wanajifikiria wao na fyucha yao sio wewe, wanataka wakutumie tu mkuu.Naongea ukweli lakin