Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Hahaaaa kama una TEMBOCARD MASTERCARD utapata otherwise imekula kwako
Mkuu kuwa na Mastercard au Visa Electron si hoja. Mpango mzima ni balance iliyomo! Utakuta mtu ana za mabenki yote, balance ukijumlisha zote haizi laki. Na umeambiwa laki si pesa!