Ungeendeleza story ni mlikuwa chini ya miti barabarani au alikuja nyumbani kwako na mlitumia kitanda cha mumeo?
Na bado unaendelea nae? Unampatia pesa?
Ila inabidi unayopenda kufanyiwa na mchepuko anza kumsukuma kiujanja mumeo atende nawe, yaani akikuuliza vipi sema mimba hiyo inakusukuma kupenda kunanii na kujaribu mengi tofauti...singizia mimba kwa kila kitu.
Hawa wanaume wao wanapenda sana kusingizia husomagi wanayoandika, sasa nawe singizia mimba. Mimba hazinaga uaina kila moja kivyake, wewe ni hayo...mfunze angalia nae movie za x sema unajifunza hapo
Nakutakia kila la kheri, ila duh kuzaa nje ya ndoa umechemka kwa kweli.
Ingekuwa mwanauke mliependana sana labda ex wako ningeeelewa sababu mapenzi mengine huwa hayaishi. Na mngepata wakukaa na kujivunia mapenzi yenu hata kama mna wenza wenu. Na mipira hukufikiria au ulitaka kujaribu kupata mimba umsakizie?
Na pia wanaume wengi haya wanajitakia kabisaaaaa, wao hawajui kuishi na wake zao na kuwatenda vyema. Ni makaputi, huku watakimbilia nje kutoa uroda si ndivyo wanavyojusifu humu. Wengi mabomuuuuuuuu ha ha haaa
Kila la kheri wa ndoani wote