Nina Milioni tano nataka gari zuri

Nina Milioni tano nataka gari zuri

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,461
Reaction score
2,321
Habari za leo Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nahitaji gari nzuri ninayo milioni tano nipatikana Arusha .

karibuni
 
Arusha kule kuna hizi Gar aina ya X-trail. Hiz ni SUV zenye bei ndogo hiko bongo sababu wabongo wengi washamba hawazielewi. Ila wajanja wa Arusha wanazielewa sana. Unaweza tafta hata no B na kupata kwa m5.
 
nina toyota vitz hii hap ipo njema hatari nicheki 0788479084
20200601_185934.jpg
20200601_185919.jpg
20200601_185859.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom