Kiubishi inatosha kiubishi maana kuna lodge mpaka 10000, misosi kwa mam nilie buku jero sahani na maji ya kunywaWaungwana kwa huyo bajeti naweza kuishi dar kwa siku ngapi msimu huu wa sikukuu kwa maana malazi ya hoteli na misosi Na misele yetu ya mimi pamoja na manzi wangu sisi tunatoka mkoani huku.
NB
Gari ninalo.
hahahaBata mmoja ni kati ya 25 mpaka 30 elfu hasa msimu huu wa sikukuu.
Hapo ktk million una mabata kama yote.
Kila lakheri mkuuAaaaah somo ! Namaanisha naenda kula maisha somo
Ni standard kabisa bila kujibana banaMbona chache mno mkuu
Bata wale wanaofukuza wezi wanauzwa laki mzee baba!Bata mmoja ni kati ya 25 mpaka 30 elfu hasa msimu huu wa sikukuu.
Hapo ktk million una mabata kama yote.
Inategemea ni bata wa aina gani unataka kula. Kama viwanja vyako ni aina Rose Garden au Break Point na kulala ni guest za mitaani zenye hadhi ya kati kwa watu wawili tu ni siku tatu. Kama viwanja ni Hyatt Regency hiyo fedha haitoshi hata siku moja.Waungwana kwa huyo bajeti naweza kuishi dar kwa siku ngapi msimu huu wa sikukuu kwa maana malazi ya hoteli na misosi Na misele yetu ya mimi pamoja na manzi wangu sisi tunatoka mkoani huku.
NB
Gari ninalo.
Kama manzi wako amekuruhusu utumie milioni moja kwenye bata basi huyo sio mke!! Piga chini mapema.Waungwana kwa huyo bajeti naweza kuishi dar kwa siku ngapi msimu huu wa sikukuu kwa maana malazi ya hoteli na misosi Na misele yetu ya mimi pamoja na manzi wangu sisi tunatoka mkoani huku.
NB
Gari ninalo.