nina milioni 5 nahitaji gari

nina milioni 5 nahitaji gari

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
369
Habari wadau,nahitaji gari kwa mwenye kuuza,bajeti yangu ni hiyo 5m,niko dar.
 
Hiyo hapo nataka 4m tu, haina tatizo yoyote ImageUploadedByJamiiForums1402867187.144704.jpgImageUploadedByJamiiForums1402867233.195819.jpgImageUploadedByJamiiForums1402867273.827277.jpg


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Nicheki apa 0755 927881 Whatssap,nna Vitz na spacial (6M) ili nikutumie picha!
 
Habari wadau,nahitaji gari kwa mwenye kuuza,bajeti yangu ni hiyo 5m,niko dar.
kwa hiyo pesa unataka gari la kukodi au la kununua, kwanini usijichange mpaka zifike m10 AU m11 iliuagize kitu cha maana?
by the way unaweza kupata mikangafu kwa bajeti yako hiyo.
 
kwa hiyo pesa unataka gari la kukodi au la kununua, kwanini usijichange mpaka zifike m10 AU m11 iliuagize kitu cha maana?
by the way unaweza kupata mikangafu kwa bajeti yako hiyo.

Hilo kadirio la chini mkuu,naweza jipiga hadi 6.
 
Habari wadau,nahitaji gari kwa mwenye kuuza,bajeti yangu ni hiyo 5m,niko dar.


Niko Dar nauza Toyota Caldina, haina tatizo lolote isipokuwa Road License ambayo imeisha mwaka jana, cost yake ni 270000,
Kama uko serious ni check kwa 0713968649
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom