Nina Milioni 4 nahitaji Toyota Vitz

Nina Milioni 4 nahitaji Toyota Vitz

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Habari wanajamvi. Nishatafuta gari humu mpaka nimechoka ndugu. nahitaji Vitz au gari yoyote jamii hiyo kwa milioni 4. Iwe smart na fuel economy. Registration namba ianzie B. Karibu Mawasiliano 0756664797
 
Nasikia hata ukiwa na 3m unaichota.
 
kuna starlet na premio hapo vipi, ila itabidi uongeze kidogo, kama upo dar niambie niwacheki wadau uje na fundi wako uikague.
 
Habari wanajanvi,nishatafuta gari umu mpaka nimechoka ndg,naitaji vitz au gari yoyote registration namba ianzie B,KARIBU.0756664797
Bwana, vitz ya nini mbona Milioni 4 ni kubwa sana tafuta gari ya maana hizi Vitz zimekuwa gari vya veta kwa ajili ya madreva wanafunzi.
 
Mbona haujanicheki mkuu gari bado ipo


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Mbona haujanicheki mkuu gari bado ipo


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
nikweli mkuu nipo kimya,duet nigari nzuri sana ikiwa mpya,mimi niko mbali kuitoa uko ulipo mpaka apa kwangu nahisi itachemkia njian kaka,punguza bei tununue boss,af ukizingatia piston 3, ndio balaa
 
nikweli mkuu nipo kimya,duet nigari nzuri sana ikiwa mpya,mimi niko mbali kuitoa uko ulipo mpaka apa kwangu nahisi itachemkia njian kaka,punguza bei tununue boss,af ukizingatia piston 3, ndio balaa

Sawa mkuu nimekusoma lakini kwa hiyo pesa uliyokuwa nayo hiyo vitz utakayoipata sijui nayo kama itafika huko unakotaka salama kama Duet sawa ina piston tatu lakini inalingana cc na hiyo vitz na bei yangu sio mbaya, kila la kheri kiongozi.


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
nikweli mkuu nipo kimya,duet nigari nzuri sana ikiwa mpya,mimi niko mbali kuitoa uko ulipo mpaka apa kwangu nahisi itachemkia njian kaka,punguza bei tununue boss,af ukizingatia piston 3, ndio balaa

Kwani uko wapi?
 
kuna starlet na premio hapo vipi, ila itabidi uongeze kidogo, kama upo dar niambie niwacheki wadau uje na fundi wako uikague.
Vipi hiyo premio ya mwaka gani, vp ukubwa na aina ya engine
 
Kaka usiwe na papala mil 4 ni nyingi mno fanya mpango uongeze upate gari ya heshima kidogo vitz hapa dar hadi mil 2.5 au 3 na zipo kwenye hali nzuri tu Jf wengi ni wezi tu humu
 
Kaka usiwe na papala mil 4 ni nyingi mno fanya mpango uongeze upate gari ya heshima kidogo vitz hapa dar hadi mil 2.5 au 3 na zipo kwenye hali nzuri tu Jf wengi ni wezi tu humu

speaking from experience wewe hata boda boda huna, 2.5-3 vitz bado unasema hali nzuri,
 
Habari wanajanvi,nishatafuta gari umu mpaka nimechoka ndg,naitaji vitz au gari yoyote jamii iyo kwa milion 4,iwe smart na fuel economy,-registration namba ianzie B,KARIBU.0756664797

Ipo Toyota Caldina ya 1997.
Ni Station wagon.
Ina sport rims, dual airbag, AC na ni fully automatic.
Kifupi ni ya ukweli.

Inahitaji 4.7M tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom