Nina milioni 2 tuu natafuta kiwanja msalato au veyula dodoma

MANIAJE

Senior Member
Aug 18, 2019
186
500
Wanabodi habari...

Kichwa Cha habari chahusika

Nina milion 2 tuu natafuta kiwanja dodoma eneo la msalato au veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha hata ikiwa km 3 sio mbaya ilimradi maji na umeme viwe karibu. Asanteni
 
Oswald Daudi Mwakibete

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,010
2,000
Wanabodi habari...

Kichwa Cha habari chahusika

Nina milion 2 tuu natafuta kiwanja dodoma eneo la msalato au veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha hata ikiwa km 3 sio mbaya ilimradi maji na umeme viwe karibu. Asanteni
cheki pagale ila hiyo amounti nenda Mvumi! 0712785395
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom