BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,257
nimeishakuzoea
Unaonekana karibu utawazoea wanaume wote ingawa mwanzo ulikuwa unaumia sana, hongera dogo
nimeishakuzoea
wapendwa nahitaji gari la milioni 2 Automatic kwa yeyote aliyenayo
sio kwamba ananitibulia ninachofanyaga nanunua gari nairekebisha then nauza mkoani mkuu, siokwa ajili ya kutembelea mimi kama wengi wanavyodhan, maana humu kuna watu wa kukatisha wenzao tamaa kumbe wengine twasonga mbele. mfano majuzi nilikuja humu natafuta gari la milioni moja na nusu, kuna watu walinibeza lakin mwisho wa siku nilipata gar kwa bei hiyo nilichofanya hiyo gar nikairekebisha matengenezo madogo kwa shilingi laki saba tu! baada yapo nikaipeleka mkoan nikaiuza kwa milioni nne na laki mbili kwahivyo nikaweza kupata faida ya milioni mbili. je hapo mkuu maisha hayajasonga mbele? sasa mtu unapokuja humu unatafuta gari la milioni mbili watu wanabeza ila nimeishazoea!
nashukuru kwa kunielewaWakuu take it from me, kama wataka nunua gari nunua kwa bei ya gari hilo, otherwise utageuka fund, ila kama jamaa ananunua na kuuza thats good for him, 2m it will cost u up to 4m before u realize kuwa umeuvaa mkenge.
wapendwa nahitaji gari la milioni 2 Automatic kwa yeyote aliyenayo
looserNenda ukawaongopee huko huko mkoani.
asantelooser
Ngoja na mimi niseme!
©©wakubwa wa mwanza jijini,, mimi kijana mwenzenu kwa kweli nina shida na ardhi. Hiyo ardhi iwe na thamani ya shilingi laki tano tu!
Tafadhali...
Ardhi hii iwe passable with cars.
All social services ziwe karibu sana.
Sihitaji ardhi iliyojaa mawe..©
Shukran... Wakazi wa mwanza changamkia fursa.
Hahahaaa!Mwanza MJINI?!! Utakuwa mgeni wewe, laki tano hata igogo au mahina haupati sehem ya kujenga hata choo, jaribu busisi...LABDA!
Hahahaaa!
Mkuu busisi? si ni kupanda feri kabisa huko?
wapendwa nahitaji gari la milioni 2 Automatic kwa yeyote aliyenayo
unayo picha yake umitumie kwenye whatsup?Ipo carina zile za zamani wanaziita ma.ta.ko ya nyani nataka 2m tu ni fixed price call 0713 234224
nimeishakuzoea king kong
Frank Osaba ndio anakufaa,maana dili hizi mtafanya hadi ukimbie mwenyewe.Ipo carina zile za zamani wanaziita ma.ta.ko ya nyani nataka 2m tu ni fixed price call 0713 234224
ipo vitara manual panda mpka tatu nikupe gari