wapendwa nahitaji gari la milioni 2 Automatic kwa yeyote aliyenayo
wapendwa nahitaji gari la milioni 2 Automatic kwa yeyote aliyenayo
ile biashara ya kutoa mkopo imeishia wapi???wapendwa nahitaji gari la milioni 2 Automatic kwa yeyote aliyenayo
ile inaendelea mkuuile biashara ya kutoa mkopo imeishia wapi???
Hahaha,unamtibulia mkuu,mkurugenzi wa Taasisi ya kukopesha Pesa anataka gari ya 2mile biashara ya kutoa mkopo imeishia wapi???
sio kwamba ananitibulia ninachofanyaga nanunua gari nairekebisha then nauza mkoani mkuu, siokwa ajili ya kutembelea mimi kama wengi wanavyodhan, maana humu kuna watu wa kukatisha wenzao tamaa kumbe wengine twasonga mbele. mfano majuzi nilikuja humu natafuta gari la milioni moja na nusu, kuna watu walinibeza lakin mwisho wa siku nilipata gar kwa bei hiyo nilichofanya hiyo gar nikairekebisha matengenezo madogo kwa shilingi laki saba tu! baada yapo nikaipeleka mkoan nikaiuza kwa milioni nne na laki mbili kwahivyo nikaweza kupata faida ya milioni mbili. je hapo mkuu maisha hayajasonga mbele? sasa mtu unapokuja humu unatafuta gari la milioni mbili watu wanabeza ila nimeishazoea!Hahaha,unamtibulia mkuu,mkurugenzi wa Taasisi ya kukopesha Pesa anataka gari ya 2m
majuzi kuna mtu alitaka mkopo kwangu wa milion moja na nusu na riba yangu ilikuwa n tshs. laki tano ina maana alitakiwa arudishe milion mbili akaweka dhamana ya gar ya nissan march within 18 days akawa amrudisha hela kwahivyo faida yangu ikawa laki tano within 18 days! je hapo mkuu maisha hayajasonga mbele? lakin mtu akija na mada yake kama bas wapo watakaotukana na kubeza pia lakin mwisho wa siku najikuta naingiza milion mbili mpaka mbili na nusu hivi hivi! wakunibeza aendelee kunibeza sina tatzo na mtuile inaendelea mkuu
majuzi kuna mtu alitaka mkopo kwangu wa milion moja na nusu na riba yangu ilikuwa n tshs. laki tano ina maana alitakiwa arudishe milion mbili akaweka dhamana ya gar ya nissan march within 18 days akawa amrudisha hela kwahivyo faida yangu ikawa laki tano within 18 days! je hapo mkuu maisha hayajasonga mbele? lakin mtu akija na mada yake kama bas wapo watakaotukana na kubeza pia lakin mwisho wa siku najikuta naingiza milion mbili mpaka mbili na nusu hivi hivi! wakunibeza aendelee kunibeza sina tatzo na mtu

sio kwamba ananitibulia ninachofanyaga nanunua gari nairekebisha then nauza mkoani mkuu, siokwa ajili ya kutembelea mimi kama wengi wanavyodhan, maana humu kuna watu wa kukatisha wenzao tamaa kumbe wengine twasonga mbele. mfano majuzi nilikuja humu natafuta gari la milioni moja na nusu, kuna watu walinibeza lakin mwisho wa siku nilipata gar kwa bei hiyo nilichofanya hiyo gar nikairekebisha matengenezo madogo kwa shilingi laki saba tu! baada yapo nikaipeleka mkoan nikaiuza kwa milioni nne na laki mbili kwahivyo nikaweza kupata faida ya milioni mbili. je hapo mkuu maisha hayajasonga mbele? sasa mtu unapokuja humu unatafuta gari la milioni mbili watu wanabeza ila nimeishazoea!
n jadi yangMkuu mbona unajisifia sana?
nimeishakuzoea king kongNenda ukawaongopee huko huko mkoani.
nimeishakuzoeaUna kesi ya kutakatisha fedha mkuu, umkopeshe mtu 1.5m within 18days ulipwe laki5 as interest? E Mungu wangu, una dini kweli ww kijana? Ni dhambi kubwa hiyo unayofanya ndg yangu!