Nina milioni 1 nataka laptop kubwa

Nina milioni 1 nataka laptop kubwa

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,861
Reaction score
2,100
Habari waungwana nina milioni 1 cash nataka laptop yenye uwezo mkubwa kwa kazi za Graphic Design.

Sifa ya kwanza iwe na SSD. Kwa mwenye nayo anishushie spec hapa chini, nitakayoikubali naichukua
 
Nenda dukani lakn kwa hyo bei chukua mtumba at least 6th gen i5 au i7, pia angalia yenye dedicated gpu Nvidia au amd. Ila nakushauri usinunue hp tafuta dell au lenovo.
 
Hiyo million yako wajanja wataila tu fasta.Kama hujajipanga jiandae kuuziwa kopo huko pm.Ungewekeza kwanza muda wako pamoja na akili zako katika kujifunza techs za laptops halafu unakuja hapa unasema kuwa nataka moja kati ya laptops hizi kwa million moja.
 
asante kwa ushauri vipi Omen?
 
Hiyo million yako wajanja wataila tu fasta.Kama hujajipanga jiandae kuuziwa kopo huko pm.Ungewekeza kwanza muda wako pamoja na akili zako katika kujifunza techs za laptops halafu unakuja hapa unasema kuwa nataka moja kati ya laptops hizi kwa million moja.
Asante kwa ushauri Vipi Ubora wa Omen mzee
 
Hp omen rayzen 7 Seen size 15,6Graphics card invidia 1650 4gb dedicatedRam 32gb Ssd 512gb. Jamaa anataka Mil 3.8
Sijajua bajeti yako lakini 3.8m parefu sana, alafu kama ni graphic design pc yoyote yenye at least i5 4th gen au hata ryzen 3. Cha msingi cha kuangalia ni graphics card iwe nvidia au amd dedicated. Ukipiga misele unapata kwa mia 7 mia 8
 
i5 4th Gen, Nvidia ndo niliyonayo sasa ila nataka kuiprove Issue yangu ni kuitumia kwenye Maya, Brender na After Effect, rendering iwe upesi Kuliko hii Niliyonayo sasa. Nakutegemea kwa ushauri wako
 
Kwa maya chukua kuanzia i5 4th gen lakini gpu ianzie nvidia 1650 Ti na ram at least 12gb, mi natumia blender kufanya animation pc yangu ni i5 4th gen nvidia 670 ram 12gb.
Iyo omen ingefaa tatizo wanakuuzia ghali.
Kwa ufupi zingatia gpu.
 
Asante sana, vipi tofauti ya ssd na hdd ina Impact yoyote kwenye matokeo ya Rendering?
 
Habari waungwana nina milioni 1 cash nataka laptop yenye uwezo mkubwa kwa kazi za Graphic Design.

Sifa ya kwanza iwe na SSD. Kwa mwenye nayo anishushie spec hapa chini, nitakayoikubali naichukua
njoo nikuuzie hii:
Dell Latitude E7440
RAM 8GB
SSD 256GB
proc. i7
battery - No
price: 850k tu.
 
Kwa maya chukua kuanzia i5 4th gen lakini gpu ianzie nvidia 1650 Ti na ram at least 12gb, mi natumia blender kufanya animation pc yangu ni i5 4th gen nvidia 670 ram 12gb.
Iyo omen ingefaa tatizo wanakuuzia ghali.
Kwa ufupi zingatia gpu.
Kama shida ni Gpu na Ram Si naweza kupata mahali ambapo wanaweza kunifanyia Upgrading hapohapo
 
Back
Top Bottom