Nina miezi sita sijafanya mapenzi, mke wangu analea

imani tu hizo mi nnalea pia nna mtoto miezi nimejifungua nimekaa miezi mitatu tu premier km kawa watu wanakremishwa vibaya
 
Ningekuwa ni mimi sikubali, sema tu ni wewe umekubali halafu unakuja kuuliza uliza maswali ya kijinga jinga.
 
Sio lazima tuduuuuu,tunaweza kwenda home na kuchill....sijui nani kaimba lol.....

Fanya mazoezi,usiangalie ngono,sali mpaka hapo mkeo atakaporudi kny mstari.......usiende nje mkuu,kuna ujinga mwingi usije kunasa....

Ila umenichekesha una kumbu kumbu ya lini uliduu na mkeo lol 😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia mwenzangu kwa maradhi na uzima"? Sasa mwenzangu ndio hivyo kama alivyo.

Na alivyo kalilishwa vibaya kua akinipa, mtoto atabemendeka! ndio usiseme. Nifunzeni mkubwa mwenzenu jinsi ya kujikwamua na mtihani huu, maana hali inakaribia kunishinda.

Sitaki nibake kuku nikaonakana kituko mbele ya jamii.

kama mtoto sio wako ni kweli atabememdeka
 
......Mmh! miezi sita yote hiyo, mwambie shem aache longo longo. Anataka hadi mtoto aanze kutembea au aache kunyonya kwani wewe ulimuambia unataka ummege mtoto?.

Mke wangu alivyojifungua baada ya miezi mitatu tu game zikawa zinapigwa kama kawaida. Cha msingi ni umakini na usafi kabla na baada ya kumaliza sex ili msimlishe mauchafu yenu mtoto na usimjaze wakati mtoto mdogo sana.

Nilivyokaa miezi mitatu nilikuwa naona adhabu, wewe umefikisha hadi miezi sita duuh, hongera zako.
 
acha unafiki eti nina miezi sita sijatenda wakati kila ukienda kuoga unapiga PUL....
 
Mkuu Kitoabu nafikiri miezi mitatu akishamaliza uzazi bana
Mpaka amalize kunyonya mbona majanga. Mi mtoto wangu ana miaka miwili na kitu na bado analitafuta ziwa anyonye aise ukae miaka miwili hujaonana na wife hilo ni gereza au adhabu mkuu. Miezi mitatu naamini inatosha kabisa ni kuwa tuu makini maana hesabu zao hapo huwa zimeharibika unaweza kujikuta ana mimba nyingine aise usipikuwa makini
Na naamini anachoogopa mke wako ni mimba wala sio suala la kusema mtoto mpaka aache kunyonya

Siku 40-70 kama amejifungua kawaida na hana matatizo
 
Last edited by a moderator:
Mueleweshe kua Sio kweli kua mtambemenda mtoto mkeo akijifungua mpe miezi mi3 break au miwili apumzike, chamsingi mkimaliza kula Raha make sure mnakoga kabla hamja aanza kumshika mtoto hasa mama awe makini sana Kwa Hilo...
 
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia mwenzangu kwa maradhi na uzima"? Sasa mwenzangu ndio hivyo kama alivyo.

Na alivyo kalilishwa vibaya kua akinipa, mtoto atabemendeka! ndio usiseme. Nifunzeni mkubwa mwenzenu jinsi ya kujikwamua na mtihani huu, maana hali inakaribia kunishinda.

Sitaki nibake kuku nikaonakana kituko mbele ya jamii.

Mkuu, huyo mkeo atakua hakupendi aisee

Miezi miwili mitatu watu wanaanza kupiga, tena safi kabisa

Huwezi kumbemenda mtoto wako mwenyewe unless hiyo mimba ni ya mtu mwingine
 
Back
Top Bottom