Nina miezi sita sijafanya mapenzi, mke wangu analea

Miezi sita mbona ruksaaa?????

Mtongoze vizuri mkeo


Anyway mmenionea Tyta mahala???

hamna kitu hapa..........typical psycho....
[h=3]Nilielalanae Jana, leo kanijia na mumewe na mapanga mkononi[/h] Started by Kitoabu, 22nd January 2014 15:11
Sijui ni mkosi, nuks ama balaa gani me mwenzenu. Nilipo mtongoza hakuniambia kua yeye ni mke wa mtu, badala yake aliniambia yeye ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho pele Mlimani na hapo anapoishi ni kwa shangazi yake. Ndipo Jana nilipo amua kumchukua na kwenda kulalanae home. Chaajabu leo hasbuh ananijia na njemba kama tatu zikiwa na mapanga kila mmoja mikononi nakuwaonyesha kuwa hapa ndipo alipo lala na mimi ndie nilie lalanae. Kama sio jirani zangu kuja kunisaidia hakiyanani wangeniua. Nashukuru jamaa (mumewe) ni muelewa na tumekubaliana kumalizana serkali za mitaa kwa mimi kumlipa 5000,000 kama fidia ya ugoni. Tatizo sio kumlipa, tatizo ni pakuzipata kiasi hicho kwa muda tulio kubaliana. Kwakweli sina uwezo wa kulipa pesa zote hizo ifikapo hiyo Ijumaa 24-1-2014, nilicho amua ni kuikimbia nyumba na kwenda kupumzika ninapo pajua mwenyewe. Ugoni gani wa kulipizana pesa huo? Tangu nizaliwe sijawahi ona kitu kama hicho, nilitegemea tutayamaliza kwa maneno tu lakini jamaa anataka nimlipe pesa zote hizo me nitazipataje? Aghh naama mji.
halafu anapenda sana kutaja tarehe aonekane mkweli...

Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa ..........
 
Nisoma comment na thread yako nahisi bado wote Tunashangaa tu, mkeo nahisi amepata rungu la kukuchapia kutakuwa na tatizo zaidi ya ulichoelezea.

Ongeeni mtapata ufumbuzi hapa ni full chai kwenye swala hilo. Kila mtu atakupa uzoefu wake ambao pengine kwenye ndoa yako hauna mashiko.
 
Tulia bro maana kuna ukimwi huko nje wala sio jambo la kusadikika na ukitoka nje ukaupata utakuja ujute maisha yako yote ukienda kwa bek3 hakika familia yako itakuja kuwa ktk matatizo makubwa. Mkuu tulia UKIMWI NI HATARI
 
endelea kuvumilia kiongozi mwisho wa siku utakuta houseboy anajivinjari kiulaaaaainnnii
 
Back
Top Bottom