Ukute ni Kai Green mwenyewe ndio anatafuta mkuu......dunia ni kama kijiji....[emoji16][emoji16][emoji16]Mzee baba umekuwa KAI GREEN wa kule Marekani?..........au umeamua kufurahisha baraza
Kai Green akiwa na hicho kiswahili nahama nchi aisee 😀😀😀Ukute ni Kai Green mwenyewe ndio anatafuta mkuu......dunia ni kama kijiji....[emoji16][emoji16][emoji16]
ucjali...yrs are just numbers!! cha msingi upendo na kuvumiliana!! PM tu tuone kinachowezekana.15 years gape si mchezo , [emoji23][emoji23][emoji23]
ucjali mambo ya kawaida tu, viungo vya siri vya mwili huwa havitofautiani kati ya me na ke - ndiyo alivyoumba Muumba.Hiyo misuli uwiiiii. Hapo hujavua nguo zote!!!
hapana, huyu hana maadili...simtaki kabisa.
HahahahUkute ni Kai Green mwenyewe ndio anatafuta mkuu......dunia ni kama kijiji....[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa picha hiyo halafu unataka bint wa 24yr na55 kg serious?
Bikra kizazi hiki ndugu yangu.... lah hapana aisee.Sifa kuu. Awe na bikra