Unataka kuona nini mkuu 🤣🤣🙌🏾Picha Mkuu..!
Arekodi audio nijue kupitia vipimo vya frequency yakePicha Mkuu..!
Hii nchi ngumu sana😂😂😂Jamani nimekuwa Na matatizo ya kujamba
Mara kwa Mara
Na nikijizuia lazima nijiisi matatizo ya tumbo
Nilienda hospitali walisema ni gess tumboni nilipewa vidonge lakini bado tu na nyombeza nyombeza tu Tena Hata mbele za watu
Sidhani kama ni kweli mkuu.Watu wanasema hivyo, sina hakika
🙄🙄Unataka kuona nini mkuu 🤣🤣🙌🏾
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] AiseehhLkn pia marinda yako hajawai tumika kwa Kaz zozote zile ukiacha kunya cheki out marinda Kama Kuna lenye itilafu fatilia bawasili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweehNielezee intensity yake, Je, unapiga moja nzito au unapiga kwa interval f'lani?.