2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,080
Dk nimekusikiliza leo Star tv ukifafanua ulihcokisemaawali ambapo hata mie sikuweza kukisikia:
Asante Dokta kwa kukiri kua Ulishirikiana na mwakyembe, na Hii ni baada ya watu kukueleza kua walikuona Uko naye pale Serana, pengine usingetaja. Nina maswali hapa...
Kwanini umefanya thesis yako ya kupekua taarifa za Lowasa kwa kushirikiana na Mwakyembe wakati huu wa UCHAGUZI na sio kabla ya hapo wakati unajua Richmond ilishapita siku nyingi? Kitu gani Mlikua hamkijui kuhusu lowasa?
kwanini ukiwa kama Katibu MKUU mlikurupuka kumleta LOwasa Ndani ya chadema, angali walishakuteua february kua Mgombea uliwaza nini hata ukaafiki,msimamo wako ulikuaje hapo? na hapo hapo unakiri kua inakuuma kwa kiasi fulani kutemwa kwenye kugombea Urais?
Vipi kuhusu reasearch mliyofanya kuhusu kumleta lowasa ingewapa ushindi, kuna ukweli hapa? je Ushindi hauutaki?
Mwakyembe kipindi hiki cha Uchaguzi? Kwanini Umeenda Na Mwakyembe Hotelini TEna kwa SIRI? Alikuja kusaidia nini Hotelini ambacho hangeweza kukusaidia kabla ya mkutano wako na waandishi?
je Swala la wewe kutupia mabegi halina uhusiano wowote na Lowasa?
Je kwa maana hiyo unataka kuwashauri wapenda mabadiliko waendelee kuichagua CCM kwasababu mgombea wake japo ni fisadi lakini ametaja ufisadi katika hotuba zake????
Je Richmond ndio kilakitu , vipi kuhusu Escrow, Epa, nk,katiba mpya ya warioba yenye kutaja maadili??
Je tukichagua CCM ndio Ufisadi utaisha?
Tunafahamu JK ni kiongozi mwadilifu lakini ndani ya CCM ufisadi umekuwepo ukizungumzwa kwenye uongozi wake wa miaka kumi. JE tukimchagua Magufuli ambaye ana kaufisadi kidogo pengine kuliko Lowasa kwa mujibu wa mtazamo wako na maoni yako je, ndio Ufisadi utamalizika?