assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Chadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujifichanimejarib kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema
1 MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?
2 kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi
3 kasome sheria ya mabadiliko ya katiba raisi kisheria hana uwezo huo mbn mh unakurupuka
4 je jimbo la arusha mjini mbn hujakamilisha ahadi zako mbn hilo hulizungumzii?
tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.
Mkuu watu wamesha wachoka tayari watu kama Lema et alChadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujificha
Mkuu watu wamesha wachoka tayari watu kama Lema et al
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.
1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?
2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi
3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.
4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?
Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.
Chadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujificha
arusha mjin 2015 wajifunzeChadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujificha
Mkuu watu wamesha wachoka tayari watu kama Lema et al
Yani wewe ndiyo kitunguu kabisa hujielewi wala hujui unafanya nini kama ndege wewe bata ambaye huoga matope nakujiona anapendeza.Hata mimi nina mashaka na uwezo wako. Kwa nchi kama tanzania haiitaji kujua mfumuko wa bei unasababishwa na nini, acha kumtetea jk, yeye mwenyewe alishasema hajui ni kwanini tanzania ni masikini wakati huohuo anawaambie wananchi atawaletea maisha bora!
Jipange uje upya acha kutetea upumbavu, kama hujamwelewa lema, haya niambie umeelewaje kauli ya kikwete kwamba hajui ni kwanini tanzania ni masikini.
Katika watu ovyo nafikiri wewe unaweza kuongoza, Ulitaka Lema amwambie nani? kwani chadema ndio imeshika Dola ni vema kushirikisha kichwa kufikiria
arusha mjin 2015 wajifunze
Wewe ni shost yake min kabang?
Lema kwavile najua kichwani hazijaenea vizuri mimi huwa hanipishida nampuuza tu.
Lema kwavile najua kichwani hazijaenea vizuri mimi huwa hanipishida nampuuza tu.
Arusha ccm Haikubaliki kabisa Maana kimesha deletiwa sikumingi sana na Chadema Poleni