Nina mashaka na ushindi wa Jackpot wa Abdulazizi

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kwa mara ya kwanza nimeingiwa hofu kuwa hii michezo huenda ikawa na hila nyingi.

Mshindi wa hivi karibuni kwa jina Abdulaziz,alijitambulisha kwa fani ambayo sijawahi kuisikia duniani-"Pharmacistic laboratory!" Ni gani mpya sijui ina husiana na nini!Wasi wasi wangu ni kwamba,alitaka kujiita pharmacist yaani Mfamasia.Ila kwa jinsi alovyoitamka nimejikuta naamini kuwa huyu mtu amefundishwa aseme ni nani nadhani kwa lengo la kupngeza wateja wenye fani hiyo.
Ajabu ni kuwa video yake aloyojitambulisha kama pharmacistic,inasambaa sana na kidhihakiwa na wenye taaluma aliyotamani ajibambikize?
Yote haya yanaonesha kuna uwezekano wa kuwa hizi pesa wanapeana tu
 
Video iko wapi?
 
Unayo haki ya kuona mkeka wa mshindi mwenzako utakapolalamika bodi ya michezo ya kubahatisha.
Lakini pia, ikumbukwe kuwa wanaoweza kuugushi mwingine .Umekula 200M, utakuwa na muda wa kuhoji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom