Nina mashaka na Chelsea kuchukua ubingwa

Nina mashaka na Chelsea kuchukua ubingwa

Ww unashabukia timu gan na unapokuwa na hofu kwa nn umeingia kwenye mashindano ? Kuwa muwaz na ushabiki wako
lazima uangalie pia timu pinzani
 
Liverpool anashinda leo dhidi ya Sunderland,mechi ijayo tena tunacheza na tottenham japokuwa itakuwa game ngumu ila kwakuwa tupo home kushinda lazima.Hatuna cha kupoteza zaidi ikizingatiwa tayari tumefikisha malengo yetu ya msimu huu kwa 98%,huko hizo zilizobakia ni za ubingwa. YNWA

"Nlikuwepo":bolt:
 
Pamoja sana mkuu!!
 
Liverpool FC ndo habari ya mjini...

mwanzo mwisho naona wanapigiana mahesabu ya kibwege na Chelsea anashiriki uefa sasa huku ligi huku uefa mbona kunasehem lazima atagongwa tuu.

tena najua lazima akazekwenye uefa then kwenye ligi kuna tim itamgonga tu hasa hasa hizi wanazoziona kibonde
 
Jidanganyeni
 
Ila Man City bado tumewaacha kwa mechi mbili,means hata tukimaliza bila kufungwa na yeye akimaliza bila kufungwa anachukua ubingwa,liverpool siogopi maana wao hawana kiporo

Chelsea kumaliza mechi zilizobaki bila kufungwa ina maana pia atamfunga Liverpool Anfield...are you sure!? YNWA..
 
lolote laweza kutokea hata wewe haupo safe
mi nipo safe as long as we exist....we ndo haupo safe! nway ntakutafuta baada ya kumpasua Liverpool maana mpaka sasa ndo unaemtegemea! na hata akitufunga bado kazi unayo tena kubwa tu!
 
Chelsea na Man City hawatoki salama Anfield!Hawapati sare pale
 
kweli chelsea ndo basi
 
Back
Top Bottom