mambo ya nyakati
Senior Member
- Aug 24, 2022
- 115
- 149
Kuhusu niniUnaangaika!
Acha kabisa, inabidi kutembea kwa usalama.Week ya mimba na watoto waliokuja bila plans!
Aloooh!
Vuka na chakoHabar wakuu[emoji116]
Mimi nilikuwa na mahusiano na msichana mmoja wa mtaani kwetu nikawa najipigia pigia tuuh hivyo kila nikitaka najipigia mda wowote. Kumbe bana yule mwanamke alikuwa kaolewa na mtu wa wake huwa akai pale anashinda sana huko kazini kwao na kuja pale unakuta miezi 3 au 4 akiondoka Tena ndo hivo.
Sasa picha linaanza hapa [emoji116]
Huyu mwanamke tulikuja kuachana mwaka jana IlA tukionana salami tuh basi sasa kumbe alibeba mimba mwaka jana me sina habari mapaka alipokuja kujifungua mwaka huu mwezi wa 7 na mimi nilikuwa sijui chochote sasa juzi kuna ndugu yake nae anakaa huku huku alikuwa anajua Nina mahusiano nae akanitafuta ananiambia hey Justin ujue yule jackline kaajifungua halafu mtoto kafanana naww balaa anamiezi 4 yani ww mtupu
Mimi kiukweli nilimtafuta yule jackline tukaka tukaongea badae akaniambia ukwel kuwa n mtoto wangu IlA alikuwa hana uhakika nayy anaMume me nikasema SAWA nikamuona mtoto sukulizika sana.
Sasa Mtoto akiumwa ananiambia namm nichangie chochote.
Mimi nilimjibu siwezi kutoa chochote KWA sababu mtoto anababa ake na majina kila kitu
Kiukweli nahisi hii inaweza kuwa michezo flani flani IlA kwakweli huyu alikuwa hajui mimba ni yanani so alikuwa anaskilizia kuona chata.
Namimi kiukweli sikumbuki siku niliyompa hiyo mimba maana nilikuwa najipigia tuuh
Kiukweli nahisi IlA sina uhakika nipo Katikati na pili au tatu sina haki yoyote
kama nikweli niwangu nifanyaje
1.niachane nae kwasabu yupo huku huku hana pakwenda nitaona mwisho wasiku
2.au nianze kuangaika nae ilakwamba sina uhakika wowote
[emoji116]View attachment 2461162View attachment 2461163
[emoji1]Kuna mtu kaoa huyo mwanamke ni balaa tu
Aaah sawaUsijali, wewe huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba,
Kamshtaki kama anakudhihaki.
Kama anaumwa uchungu.Unaangaika!
Ww ni mpuuzi sana tu. Tena usipokua makini mwaka huu utapewa tuzo na Basata.Habar wakuu[emoji116]
Mimi nilikuwa na mahusiano na msichana mmoja wa mtaani kwetu nikawa najipigia pigia tuuh hivyo kila nikitaka najipigia mda wowote. Kumbe bana yule mwanamke alikuwa kaolewa na mtu wa wake huwa akai pale anashinda sana huko kazini kwao na kuja pale unakuta miezi 3 au 4 akiondoka Tena ndo hivo.
Sasa picha linaanza hapa [emoji116]
Huyu mwanamke tulikuja kuachana mwaka jana IlA tukionana salami tuh basi sasa kumbe alibeba mimba mwaka jana me sina habari mapaka alipokuja kujifungua mwaka huu mwezi wa 7 na mimi nilikuwa sijui chochote sasa juzi kuna ndugu yake nae anakaa huku huku alikuwa anajua Nina mahusiano nae akanitafuta ananiambia hey Justin ujue yule jackline kaajifungua halafu mtoto kafanana naww balaa anamiezi 4 yani ww mtupu
Mimi kiukweli nilimtafuta yule jackline tukaka tukaongea badae akaniambia ukwel kuwa n mtoto wangu IlA alikuwa hana uhakika nayy anaMume me nikasema SAWA nikamuona mtoto sukulizika sana.
Sasa Mtoto akiumwa ananiambia namm nichangie chochote.
Mimi nilimjibu siwezi kutoa chochote KWA sababu mtoto anababa ake na majina kila kitu
Kiukweli nahisi hii inaweza kuwa michezo flani flani IlA kwakweli huyu alikuwa hajui mimba ni yanani so alikuwa anaskilizia kuona chata.
Namimi kiukweli sikumbuki siku niliyompa hiyo mimba maana nilikuwa najipigia tuuh
Kiukweli nahisi IlA sina uhakika nipo Katikati na pili au tatu sina haki yoyote
kama nikweli niwangu nifanyaje
1.niachane nae kwasabu yupo huku huku hana pakwenda nitaona mwisho wasiku
2.au nianze kuangaika nae ilakwamba sina uhakika wowote
[emoji116]View attachment 2461162View attachment 2461163
Na Ukimwi pia watu wanapata hivi hivi bila kuamini. Wakati ulipokuwa inajipigia pigia hata tahadhari ulikuwa hujali.Habar wakuu[emoji116]

"IIA" ni nn?Habar wakuu[emoji116]

Habar wakuu[emoji116]