Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Wadau, amani iwe kwenu.
Kila mtu ana style yake ya kufanya kazi. Ila kikubwa zaidi ni jinsi unavyowaridhisha wale unaowafanyia kazi. Katika Mawaziri bora katika Utawala wa Rais Magufuli basi katika wale Top Five wanaweza kuwa hivi;
Prof Maghembe hakika Kinana na Nape hawakukosea kumuita Waziri Mzigo akiwa enzi za Kikwete. Hakika asipojirekebisha naona ukomo wake umekaribia. Siku si nyingi anaweza kukalia benchi. Utawala wa Magufuli si lele mama. Ni vema akatumia muda huu kujisahihisha vinginevyo atangaze kabisa kuwa hawezi kazi. Ni bora akarudi chuoni kufundisha
Ni mtazamo wangu tu.

- Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustino Mahiga
- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
- Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako na
- Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye