Nina mapenzi ya dhati; natafuta mchumba

Hilo kosa kwa dini yetu ya kislaam .. mtoto wa kike na wakislaam kijitangaza kama hivyo.. Kaa usali m. Mungu.. na hutochukua muda atakuja mtu kukuchumbia na kukuoa..
 
Ww una kazi hadi unaweka kigezo hicho
 
Wanachama tunakuja na ID mpya kutafuta wachumba.

baada ya hapo nduki
 

Toa papuchi io tuitest kwanza ndio ndoa..nan anasubiria ckuizi wakati vipo vya kumwaga..date 1 papuchi then unafkiriwa ombi lako.
 
Jamani hamjashtuka kumbe. Hizo sifa ni kinyume chake. Huyu anapima tu. Jamani mtakosa mke hivi hivi kwa kushindwa kuupindua mtego upside down.
 
Ni Pm,mchumba umepata
 
Sasa mbona hiyo pm yenyewe hujibu umekimbia au ulijisikia kuanzisha uzi ili watu uone wanavyocoment
 
Nina sifa zote hispokuwa moja [HASHTAG]#Degree[/HASHTAG] sina
 
Sifa zako ulizo ziweka ni za kweli au unatafuta kiki ? kama ni za kweli utampata ambae mnaendana nae.
 
Hakuna papuchi mpaka ya ndoa wewe bado bikira?,kama no iweje hao wengine uwape halafu mimi mumeo mtarajiwa uninyime?,kwa kweli dunia itaisha na vituko vyake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…