Nina mapenzi na mama yangu

Nina mapenzi na mama yangu

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Najua utastuka ila samahani kwa kustuka kwako,hapa duniani hamna mtu kama mama,mama yupo tayari kudhalilika hata njiani,kwenye basi anaweza toa nyonyo na kukupatia,hakuna sehemu nyeti kama nyonyo ila kina mama hawa hawajali,usiku hawalali wanakesha na watoto,elimu huwezi kupata bila msukumo wa mama,tabia yako inategemea malezi ya mama,big up mama na wanawake wote
 
Kweli hakuna kama mama,nilikuwa nikitaka kitu kwa baba namwomba mama amwambie maana nikienda kwa baba direct anaweza kunipiga mkwara wa haja hata kama atanipa hiyo kitu
 
Nikajua ni yale mapenzi ya watoto wa Songea, Ruvuma na mama zao.

Hakuna kama mama. Ukipatwa na matatizo utakimbiwa na kila mtu lakini siyo mama yako.
 
kwa sisi waafrika unaposema nina mapenzi na fulani tunaelewa kwamba unataka kufanya hayo mapenzi au kuowa. sasa sielewi wewe mapenzi yako ni heshima tu au unataka kuyatimiliza kabisa hayo mapenzi?
 
Nakmbuka mama yang alivyotusomesha kwnye dhiki,bt kwa uwezo wa mungu,dada,mm na mdogo wetu,wote ni graduates na kla mmoja ana maisha yake ya kuridhisha tu,thanks mum u will never be disapoint.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom