Nina line ya mpesa

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Nimekata tamaa ya kuendelea na biashara hii mwenye kutaka naomba aniambie
awasiliane nami kwa no. 0652 131653
karibuni
 
Kwanini umekata tamaa?...na kama unaiuza unauzaje?
 
Pole kwa kukata tamaa,mi nadhani hukufanya utafiti kabla ya kuanza biashara uliingia kwa shinikizo tu,jipange tena mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…