mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
Nataka simu mpya kabisa ....niifungue mwenyewe ...ila isiwe tecn.......nataka kampuni ya samsung
Nataka simu mpya kabisa ....niifungue mwenyewe ...ila isiwe tecn.......nataka kampuni ya samsung
Sawa nashukuru sanaKuna mdau anaitwa Vieloon, cheki posts zake utapata simu kali kwa hiyo bei.
Uzi mmoja huu hapa
Latest Smartphones...pata kwa bei pouwa.
Sawa big Joo ....kwani j7 kwa laki 5 siwezi pata?Samsung j5 ni mzuri chukua 4g haizidi laki nne huto jutia
Samsung wanauza laki sita Na 20 ila za 4g ila zipo za 3g pia laki tano unapata ila j5 ndio Bora katika j series hiyo j7 ni kioo kikubwa tu ila kwa ufanisi J5Sawa big Joo ....kwani j7 kwa laki 5 siwezi pata?
Nashukuru sana nilikuwa sijajua kuwa j7...zipo za 3g tuSamsung wanauza laki sita Na 20 ila za 4g ila zipo za 3g pia laki tano unapata ila j5 ndio Bora katika j series hiyo j7 ni kioo kikubwa tu ila kwa ufanisi J5
Kwahyo j5 naweza pata kwa bei gani mpya kabisaSamsung wanauza laki sita Na 20 ila za 4g ila zipo za 3g pia laki tano unapata ila j5 ndio Bora katika j series hiyo j7 ni kioo kikubwa tu ila kwa ufanisi J5
Zipo za 3g Na 4g uwe makini ukiona bei zipo chini ndio hizo za 3g ila 4g ndio hizo wana uza laki sita Na ishiriniNashukuru sana nilikuwa sijajua kuwa j7...zipo za 3g tu
ShukraniRadio call
Laki nne Na ya 4g nenda Samsung dukani kwao utachagua Na kupata maelezo Na utakuwa Na uhakika Na simu yako na uhakika Wa warrant Wa miaka miwiliKwahyo j5 naweza pata kwa bei gani mpya kabisa
Kwahyo j5 haizidi laki 4..?Laki nne Na ya 4g nenda Samsung dukani kwao utachagua Na kupata maelezo Na utakuwa Na uhakika Na simu yako na uhakika Wa warrant Wa miaka miwili
Nenda duka la Samsung utapata bei sahihi ila bei zake ni laki nne ata kwa bajeti yako ya laki tano unapata simu na chenji inarudi Na unakuwa umelipa kodi kwa taifa lako usisahau kudai risitiKwahyo j5 haizidi laki 4..?
Poa poa shukrani sanaa...Nenda duka la Samsung utapata bei sahihi ila bei zake ni laki nne ata kwa bajeti yako ya laki tano unapata simu na chenji inarudi Na unakuwa umelipa kodi kwa taifa lako usisahau kudai risiti